Artist: Wenyeji
Song: Presha
Chorus
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha (presha)
utaingia ndani ya nyumba bila pesa (presha)
washkaji na ma-soldier wanatesa (presha)
presha (presha)

Verse 1
sector ya sisi ni ya ma-gangster
cheza na sisi utapotezwa
magonjwa za wizi zinaponyeshwa
hangover ni ulevi si ulikesha
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha
bakuli juu ya meza tunameza
huna misuli mi sidhani wee utaweza
ukicheza utajikuta kwa gereza
Bernadi yuko guardi kwenye meda
ma-soldier kwenye nyumba ni mateja
ma-soldier kwenye nyumba ni mateja
ma-soldier kwenye nyumba ni ma... danger
Chorus
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha (presha)
utaingia ndani ya nyumba bila pesa (presha)
washkaji na ma-soldier wanatesa (presha)
presha (presha)
presha (presha)
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha (presha)
utaingia ndani ya nyumba bila pesa (presha)
washkaji na ma-soldier wanatesa (presha)
presha (presha)
presha (presha)
Verse 2
mayday mayday
retreat retreat
napatia beat hapa retreat
prophecies of Pharisees
Bernadi Zaka
set your mind at ease
elimu ni mziki usilipe school fees
ikichanganya wee puff ya riz (rizla)
si hu-treat akili first aid kit
maoni yangu hapa means za street
hustling mpaka industry
mainstream, napinga slavery
nachiwara niko sanctuary
kitu so real sio forgery
atrocities za thuggery
kalamu karatasi ziko calvary
ku-stand firm kwa slum Jemedari
niko shwari kwa hii safari
kweli...
Chorus
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha (presha)
utaingia ndani ya nyumba bila pesa (presha)
washkaji na ma-soldier wanatesa (presha)
presha (presha)
presha (presha)
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha (presha)
utaingia ndani ya nyumba bila pesa (presha)
washkaji na ma-soldier wanatesa (presha)
presha (presha)
presha (presha)
Verse 3
tumekuwa na presha that
wanatutesa in fact
hatuna pesa ni fact
chenye mi hukulia hizi song hizi show
survival ni ka mixture makumbusho
za 1963 sect ya survival
sa hii ya chapter 43 hustle iko stagnant
bila pesa ni presha
najivunia kuwa mwananchi but
nabaki ghetto tupu tupu uchi
battle same kwa landlord
ni presha
na huwezi blame tenant
ni presha
na shorty ako pregnant na nyumba sijajenga
wako nyuma kunitega hawa mafala kunikanga
mabeste wanadumba
hiyo ni presha...
Chorus
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha (presha)
utaingia ndani ya nyumba bila pesa (presha)
washkaji na ma-soldier wanatesa (presha)
presha (presha)
presha (presha)
mwavuli juu ya kichwa kunanyesha (presha)
utaingia ndani ya nyumba bila pesa (presha)
washkaji na ma-soldier wanatesa (presha)
presha (presha)
presha (presha)
| < Prev |
|---|