| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Mbingu na Nchi

Artist: Webi & Mbuvi
Song: Mbingu na nchi
Album: All I Can Say
Year: 2009
Producer: Ben ‘Gittx’ Gitau and Steve ‘Steve- O’
Record Label: Blackman Entertainment


Ubeti (Webi)
Mfano wa upendo wako, 
ni ulivyo tupa mwanao, 
pendo dhahiri. 

Vitendo vya kuhangaisha, 
maneno ya kudhoofisha, 
ulistahimili. 

Kwa badala yetu sisi, 
kafa msalabani, 
uhakika wa faraja kamili. 

Nafsi zetu kaziosha, 
maisha ya upili, 
hivi tulivyo tu viumbe vipya a a a a..

Kipokeo
Nashangazwa ulivyo yajali yetu maisha, 
wema wako, 
hauna kifani. 

Ni wewe pekee unayefaa kuabudiwa siku zote, 
ulieumba mbingu na nchi..

Ubeti (Mbuvi)
Nue kwakwa ivia yitathingithaw’a,
Nue kwakwa thayu wa tene na tene eee
Ila nai Mwau wambukililye wangwatiiya
Nue Ngwisilasya nue waw’o nue eee

Nzeng’aswa nzeng’aswa ni maundu maku monthe
Nzeng’aswa nzeng’aswa ni wendo waku kwakwa Vava
Nzeng’aswa nzeng’aswa ta nzenga nzenye usenyo
Nue wakwa waw’o nue Mwiai


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1699 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)