Artist:Wazushi with Yome and Bamzigi
Song:Mombasa raha
Year:2011
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Wanasema ati natoka Mombasa
kama unapenda hebu kuja sasa
aha raha...
Mombasa raha...
wanasema tunatoka Mombasa
wengi wanapenda huku kuna raha
aha raha...
Mombasa raha...
toka jiji naelekea Mombasa
kusabahi hawa wazushi Mtwapa
aha raha...
Mombasa raha...
CHORUS LYRICS:
washasema nimetoka Mombasa
wengi wanapenda huku kuna raha
aha raha...
Mombasa raha...
VERSE 2 LYRICS:
waga, Mtwapani, Bombolulu
waga, mambo tayari, miki ndani
waga, congo wear, najiita rooney
waga, kona ya bichi, hapo pembeni
waga, mtomondoni, mbuzi wengi
waga, makaburini, na kote huko
waga, ka huna kitu, mwezi wa pori
waga, anasinzia, hujui uende wapi
CHORUS LYRICS:
Wanasema ati natoka Mombasa
kama unapenda hebu kuja sasa
aha raha...
Mombasa raha...
wanasema mi natoka Mombasa
kama unapenda huku ndio kuna raha
aha raha...
Mombasa raha...
wanasema nimetoka Mombasa
kama unapenda njoo Mombasa
aha raha...
Mombasa raha...
Nikiwa Pwani utanipata Mombasa
wengi wanapenda huku kuna raha
aha raha...
Mombasa raha...
VERSE 3 LYRICS:
Coast tuko poa, ngoma twazitoa
watu wanatambua, tunavyozindua
wazush tuko poa Mombasani twasifika
kwenye fani si twawika
mtaa wa Pwani si twaskika
Sisi huwa tuko, Mombasa
Wazushi wakati wetu ni sasa
kwani maisha yetu ni faster
big tree twala chai n pasta
Mtwapa ukishuka uko Posta
mziki wetu Coast utapata
skia nakwambia utadata
Coast yetu juu, kuna raha
mjanja naye pia yuko hapa
big mnoma kamba ninakata
kaya pia iko, tutapata
tuwe baridi sote na ma tusker
CHORUS LYRICS:
aha raha...
Mombasa raha...
yeah...oyo...
aha raha...
Mombasa raha...