Artist: Walanguzi & Wally B
Song: V.I.P
Year: 2010
Producer: So Severe
Record Label: Esoteric Records
Verse 1 (Wally B)
nina taki mbaya kwa game nadai dollars
kuna players wengi kwa game nadai mbana
ma-rapper walidhani kwa game washaivana but
since B a-blow kwa game wataitana but
f them, hii ni ya fans kwa club
ma-baller wame-turn up na tons za cash
na chicks wako dressed to kill
na-take pic na of course na-pose paparazzi wa-take pics
mi ni VIP
nasaka dame ana big things poppin, ma T.I.P
na ana thighs ka za Fergie wa Black Eyed Peas
mascara na ma-black eye p.(anani-please ati)
thong ndio ma p-an-ti anani-tease
I'm like, hey Miss VIP umeni-seize
nilisoma kwa mag wee ni P.I.M.P
still ananikula, kama p. mantis
Chorus
ka una ma-amount kwa account
contacts majuu mpaka around
show haiezi anza mpaka wee ukam
manicure, pedicure na lips ni tam
ka hauoni the big deal ka Kajwang
na balcony yako ina compound
na kwa bar una-throw throw ma-round
mpaka sheto anajua wee ni fyam
Verse 2 (Das)
brain yangu siku hizi iko na bonga points
vile nawa___ mnafaa kuni___
ningekuwa prezzy mngeona kisogo yangu kwa kila korna
round hii nafukuza wasee Maasai marathon
leta nyoko nyoko ujue maana ya marathon
F entrance kwa club si hulipa tuki-exit
ukicheki chini ya kiti utatupata tu na excise
si ni wale hutokea tu kwa event juu ya wheelbarrow
threesome juu ya roof ama tu kwa wheelbarrow
weider kwa stock exchange mi huenda gym na Mbaru
napiga maji, napiga tizi na-sweat Alvaro
nikiskia njaa mi huenda huko tu Namanga
karibu na border alafu nakata weight na panga
nipate kwa kibanda juu ya skuma na kisembe
niite Ndile, mi ni ule msee wa Tip Tip ka Kalembe
Chorus
ka una ma-amount kwa account
contacts majuu mpaka around
show haiezi anza mpaka wee ukam
manicure, pedicure na lips ni tam
ka hauoni the big deal ka Kajwang
na balcony yako ina compound
na kwa bar una-throw throw ma-round
mpaka sheto anajua wee ni fyam
Verse 3 (Wally B)
wanatuge white limo na red carpet
washatambua kwa club si ndio real assets
club whole ndio tunawaita home kwa bash
ni ma-cheques si hatubebangi cash
(Das)
breakfast yangu ni kebab na kashata
hata mboch wangu hukata mboga na nailcutter
siku hizi Carnivore hunitumia bill yangu kwa Posta
bathroom yangu inakaa kama lab ya Dexter
(Wally B)
mi ni V.I.P mpaka Obama anani-flash
dough zangu zukam quickly kama flash
niko show green kwa grass na camouflage
dough nyingi kwa wallet mpaka zina-colour clash
(Das)
waliniibia speaker wakanipa Kenneth Marende
jasho yangu ni sweet madame huniita peremende
nina ma-wife watano si hukuwa na grand coalition
wote kwa bedroom wana grand position
Chorus
ka una ma-amount kwa account
contacts majuu mpaka around
show haiezi anza mpaka wee ukam
manicure, pedicure na lips ni tam
ka hauoni the big deal ka Kajwang
na balcony yako ina compound
na kwa bar una-throw throw ma-round
mpaka sheto anajua wee ni fyam
| < Prev |
|---|
