Artist: Wakimbizi
Song: Take Away
Album: Usife Moyo
Year: 2010
Producer: Babz
Record Label: Underdawg Productions
Language: Kiswahili
Chorus
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
ah, ulikuwa tu take away
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
Verse 1 (Mariko)
hiyo siku ilikuwa siku ya mikosi
nakumbuka ilikuwa Jumamosi
tulikutana naye akaanza maswali
tena nyingi hata kushinda polisi
eti Mariko siku hizi haunihisi
umenitupa hata simu huwezi piga
nimetulia tu mimi kumsikiza
nikamwambia mami lemme go my way
hiyo siku ulikuwa my take away
sikumbuki jana nilikuwa juu ya maji
sikumbuki ka nilikupiga maji
nakumbuka tuli-rent mpaka keja
juu imelia hiyo siku niko mteja
oh, ulikuwa my take away(under dawg production)
take away-ay-ay
Chorus
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
ah, ulikuwa tu take away
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
ah, ulikuwa tu take away
Verse 2 (Mr. Filter)
niko fresh kwa beat ya Babz, fresh kwenye pub
fresh Filter take away mamanzi kwenye club
skiza story ndio ilinifanyikia weekend
nilikuwa niko lonely sina girlfriend
nikamcheki dame moja yuko decent
nikam-show mi ni chali mmoja different
akani-show skiza kitu huwa sipendi
chali fake akiwa mature ana-pretend
nikam-show relax tuji-enjoy weekend
uko na nani niko solo sina boyfriend
nikamchukua na kumskuma kama tuktuk
mi ni jogoo mi humanga makuku
nampiga kando, mbele, huku na huku
yellow pages, napiga finger buku
kaa cheke staki wife anishuku
juu, ulikuwa my take away
Chorus
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
ah, ulikuwa tu take away
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
ah, ulikuwa tu take away
Verse 3
hii story mami wacha iishe hivi
nikupe ngapi ndio isifike mtaani
si unajua mi ni msee nina wifey
unani-feel kweli, do you see what I see?
shika mkwanja man na uhesabu ni ngapi
I hope kati yetu sa mambo ni safi
sasa smile tafadhali wacha kuyuma
bado ntakam next time mi ni customer
na uki-call tafadhali weka private
bibi yangu ni kama anatu-suspect
last time ulini-make nika-sing song
makosa tu uliwacha juu ya bed thong
ka angepata je, si mami ange-walk away
na vile wee ulikuwa tu ni take away
anyway, hakuna noma, hakuna regret
hiyo game, hiyo day ilikuwa great
Chorus
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
ah, ulikuwa tu take away
SMS hu-reply simu yangu haushiki
ah, ulikuwa tu take away
ushamalizana nami naona hunihitaji
ah, ulikuwa tu take away
| < Prev |
|---|
