Artist: Wakimbizi
Song: Nishike Polepole
Album: Raha
Producer: DJ Stone
Chorus
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
Verse 1
nimeoga niko freshi no sweat hakuna nare
naitisha vazi siste navaa, mambo ni shwari
kwani leo ni Friday siku ya kuenda party
napigia (oh boy) perfume inanuka vikali
leo ni leo mamanzi watakubali
namtafuta mmoja kati yao nimdare
kufika ndani ya club naona mmoja kwa mbali
nyi madame amevimbisha
nyi madame anatingisha
nyi madame amebebesha
najaribu kumgusa anaanza kuzusha
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
nakuomba tu tafadhali unielewe
haijalishi hata kama wee ni bibi ya wenyewe
nipe nafasi tu kidogo nikatike nawe
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
Chorus
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
Verse 2
ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni
huyu ni bibi ya mtu umekuja ya nini kilabuni
kwani ukija hapa hukujua kuna wahuni
wee mama mdogo hebu wee acha utani
haya mambo nasema ni ya kweli mimi sidhani
na kama wewe ni bibi ya mtu umenijazz
nami ni bwana ya mtu najua nimekujazz
baadhi si unikubali twende na mwendo wa kazi
tupendane mama na kisha tuwe wapenzi
nishike polepole mi ni bibi ya mwenyewe
kwani uliacha mlango ya kanisa wee ukaja hapa
umeshafika hapa ma fanya vitu za hapa
Chorus
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
Verse 3
umekuja kilabuni ama umekuja kanisani
kama si kanisani mbona hautaki tudansi
hapa ni kilabuni kuna kila aina ya watu
kwa hivyo usiniambie eti wee ni mke wa mtu
hata mi ni wa wenyewe kwa hivyo sote ni wa watu
once umekuja hapa jua ma umejitolea
yote yatakayotokea usiku wa leo wee mezea
hakuna anayekujua hebu please ma songea
hey kijana yule pale si atakwenda kunichongea
hey mwite jirani aje apewe vinywaji
hata na nyama choma ili awache usororaji
please Mr. Waiter leta vile tulivyo
alafu ma mdogo uwache kelele hizo
za kudai kuwa wee ni bibi ya wenyewe
ndani ya kilabuni umejileta wee mwenyewe
ajabu ya kifaranga kujileta tu kwa mwewe
Chorus
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
najaribu kumshika kiuno ananijibu
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
hata mikono tu msichana anakataa eti
nishike pole pole mi ni bibi ya mwenyewe
| < Prev | Next > |
|---|