Artist: Wakimbizi & Ulopa
Song: Nikubembeleze
Year: 2011
Producer: Ulopa
Record Label: Ulopa Ngoma
Language: Kiswahili
Verse 1 (Mariko)
najua umekasirika, najua umejam nami
juu jana nilienda out na sikurudi nyumbani
na mbona hukupiga simu
iliisha moto honey
nakuambia ukweli niamini tafadhali
chukua hata simu mpigie boss fulani
tulikuwa kwa party na clan ya wakoloni
story zikazidi kustukia ni morning
wacha pressure sweety njoo karibu nami
acha mzigo chini mami hapa ni nyumbani
njoo nikubembeleze nikucheze kama zeze
hakuna mwingine wewe ndio Miss Machete
wee si unajua tena
jana vile sikukuja
mami
najua ulikasirika
usijali
nipe nipe nipe
one more chance
nipe nipe nipe
one more chance
Chorus (Ulopa)
najua umeudhika (njoo nikubembeleze)
najua una hasira (njoo nikubembeleze)
lakini ma kuwa mpole tulia (njoo nikubembeleze)
usiwe mtala bali mpenzi tulia (njoo nikubembeleze)
(njoo nikubembeleze...)
Verse 2 (Andre)
si unajua baby gal wee kwangu ni muhimu
usinihangie simu nishike nikapate wazimu
tena wafahamu tumekuwa all along
tuki-work as a team so baby come close
nikihisi niko juu kama chopper
si unajua Andre ni bonge la msela
hata nikichelewa juwa ni mambo ya hela
mabawa juwa kazi
sio malazi, na mavazi
nielewa mami, mi sina hangaika
iko siku hizi taabu zitakwisha
hala, mi na wewe tutacheza
najua sote baby tunataka good times
nikifikiri ndio kabisa najituma
hawa jirani wana-snitch mi kicheche
najua wana-wish wangelikuwa wewe
juu nina sifa nasaka nile na wewe
hawa wanoko tu wanaropoka tu
lakini wee ndio my baby boo
Chorus (Ulopa)
najua umeudhika (njoo nikubembeleze)
najua una hasira (njoo nikubembeleze)
lakini ma kuwa mpole tulia (njoo nikubembeleze)
usiwe mtala bali mpenzi tulia (njoo nikubembeleze)
(njoo nikubembeleze...)
Verse 3 (Mr. Filter)
Hallo mami mbona umekasirika
si-like kukuona umeudhika
napenda ukifurahi na kuringa
sipendi kukuona na mashida
karibia njoo, come twende home
mi nawe tu, si wawili tu
game yetu juu
kwa kichwa miguu
una-like ku-rap na kuimba
kukula, ku-relax na kushiba
tafadhali cheka, usikasirike
leta mikono zako, mimi nizishike
njoo nikuimbie mi nawe tucheze
nipe, nipe, nipe one more chance
| < Prev | Next > |
|---|
