Artist: Wakimbizi ft Ulopa
Song: Nataka Jibu
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Verse 1
Nilifanya kila kiyu, ili nione umefurahi,
Nika kujengea nyumba ni ka kupa mpaka gari,
Familia ikiwa na shida, nilienda ku wasabahi,
Kilinda familia yako, na kuwapa kila mahitaji,
Nilifanya hivyo vyote, ili wewe usiniache,
Nilikua na kuheshimu, na kuogopa mpaka wakwe,
Na watu kunisifia, mimi ndio nilipata mukwe,
Nilikua na kupeana, jamani sifa za bure,
Ulipo kua ukitaka fedha, na kupa bila maswali,
Na sikua na kuuliza fedha ulifanyia nini,
Kumbe pesa zangu, na kupa una saidia,
Yule makanga wa 46!
Chorus
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Ama ulinioa, na mimi sifai,
Ndiposa ukaniacha ukaenda na makanga!
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Ama ulinioa, na mimi sifai,
Ndiposa ukaniacha ukaenda na makanga!
Kama ni pesa ulitaka,nilikupa,
Gari nika nunua mama wee,
Nika kujengea nyumba ya gorofa na,
bado ukaniacha ukaenda na makanga!
Verse 2
Tafhadhali nieleze nili kukosea nini,
Nataka uniambie kama ukuniamini,
Freedom nilikupa ulivaa hata mini,
Chochote ulicho taka, nilikufanyia nini!
Labda si kua nikikupatia penzi, tafhadhali nipe jibu ili nijue mapenzi,
Nakiangalia sioni ulicho ona kwa makanga,
stress za ni maliza, mpaka na shindwa kumanga,
inabidi ninywe pombe narudi niki stagger,
na tembea nikiamguka, mwenzio meno nasaga,
riporti nazo pokea, sikuhizi wamanga manga,
umekua kama kuku akiwa na vifaranga,
nifanye nini urudi ama niende kwa muganga,
tafhadhali nipe jibu,ili nijue mama!
Ulini haidi hutaniacha, na mbona ukaniacha ka enda na makanga!
Chorus
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Ama ulinioa, na mimi sifai,
Ndiposa ukaniacha ukaenda na makanga!
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Ama ulinioa, na mimi sifai,
Ndiposa ukaniacha ukaenda na makanga!
Kama ni pesa ulitaka,nilikupa,
Gari nika nunua mama wee,
Nika kujengea nyumba ya gorofa na,
bado ukaniacha ukaenda na makanga!
Sasa nimeketi chini, mimi na jiuliza maswali, kibao akilini,
Huli niliacha kwa nini, maswali bila majibu yana nipa maumivu,
Na kosa wa kunitibu, na kuaza kila siku,
Kutuliza mawazo ina bidi niende mutoni, kisha nala majani asubuhi mpaka jioni,
Nikirudi nyumbani, mtoto naye maswali, anauliza mtoto, alienda wapi mami?
Mdomo inakua mzito, kisha nakosa majibu,
mbele ya mtoto mdogo nabaki nimeona aibu,
na angalia pembeni, machozi yaki dondoka,
mtoto naye akiniona nalia, aki toroka,
na jaribu niwezavyo ili kuvumilia, ju sote tuklia nani atasaidia,
na amini hapo ulipo, kwa radio unanisikia ,
na ka una roho ya utu ju ya mtoto utanirudia,
Chorus
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Ama ulinioa, na mimi sifai,
Ndiposa ukaniacha ukaenda na makanga!
Mi nataka jibu mama we, mi nataka jibu dada we,
Ama ulinioa, na mimi sifai,
Ndiposa ukaniacha ukaenda na makanga!
Kama ni pesa ulitaka,nilikupa,
Gari nika nunua mama wee,
Nika kujengea nyumba ya gorofa na,
bado ukaniacha ukaenda na makanga!