Artist: Wakamba Wawili & U.B.
Song: Chukua Simu
Year: 2009
Language: Kiswahili
Chukua simu
OK nachukua mwanangu, relax
chukua simu
ah, oya usinisumbue
chukua simu
wee ntakushika foul manze
hawa watu wana-beep manze, skia
Chukua simu
mi nakuambia wana-beep manze
chukua simu
OK sichukui utado
chukua simu
oya unataka nichukue simu na watu wana-beep
skia
(Agano)
manzee ni U.B manze
U.B huwa ha-beep
lakini wacha nichukue
ah vipi mwanangu kunakuwaje (poa)
mbona siku hizi balaa hupatikani mitaa
umeoa bro ama umeolewa nini
niambie juu siku hizi naona una u-superstar mwingi
ama vipi mwanangu
niambie
(U.B)
si hivo Agano
niko na hustle
niko downtown nauza CD na macuzo
nilikuwa nadai mkam studio ki-session
inakuwaje, si mpitie hivi ka kesho
(Agano)
kama kawa si unajua
hip hop ni halisi
hatuwezi kuwa commercial
maboy ka sisi tunachukia commercial
katikati ya town
na kofia ni brown mzeiya
(U.B)
juu ya hiyo story kabla sijasahau
hip hop halisi inakuwa ni how
(Agano)
ah wacha kulala
pigia Labalaa
akiku-show ndio utanihala
(Labalaa)
chukua simu
oya sijiskii mwanangu
chukua simu
nimekuambia sijisikii
chukua simu
oya, jamaa ona mwanangu anani-beep skia
chukua simu
oya nimekuambia sichukui
chukua simu
hata kama ngumi ni kumi na nane
chukua simu
nimekuambia sichukui sikia ana-beep mazee
kumbe hata ha-beep
oya ni U.B mwanangu
oya UB uko vipi mwanangu
(U.B)
Lagwanja vipi man umepotea
hip hop halisi nadai kutokea
nipe appointment, ntakam through
ntakam na jeshi yangu, ntakam with my crew
(Labalaa)
maybe kwa cipher
na ki-lighter
turushe moshi mbili na machizi ndani ya taifa
wajue UB new skul wanatisha
machizi wanabisha
ushasema mzeiya sisemi kitu
kwa nini?
cipher, sisemi kitu
nipe appointment, nikam through
ntakam na jeshi yangu ntakam with my crew
OK
with the homeboyz usipotee
panda namba eleven utokee
nikute niko na Cindy kwa reception ningojee
hakuna beat mpya tuchafue
chukua simu
chukua simu
ah, alikuwa ana-flash
chukua simu
chukua simu
ebu niletee hiyo simu
chukua simu
ah, bado ana-flash
chukua simu
ebu leta nicheki ni nani mazee
alaa
ni Labalaa mzeiya
cheki fanyeni hivi
nyamazeni niongee
e-yo Labalaa vipi mzeiya
hakuna issue mwanangu U.B
nimeskia una beat kali
utatuwekea ndani
nataka kuiskia na Agano kunakuwaje?
mzeiya iseti hiyo beat
umeiseti eh?
Ok, skiza hii chorus
hakuna issue
ukituona tuko fiti man
kwenye korna kwenye mtaa tuko easy man
kwenye korna kwenye mtaa waki...
hatujachoka kutafuta tuko busy man
futa vumbi, futa vumbi
futa vumbi, futa vumbi
U.B, bonge ya chorus mpya
ukituona tuko fiti man
kwenye korna kwenye mtaa tuko easy man
kwenye korna kwenye mtaa waki...
hatujachoka kutafuta tuko busy man
futa vumbi, futa vumbi
futa vumbi, futa vumbi
U.B, bonge ya chorus mpya
chukua simu
sichukui!
kwa nini?
ishachukuliwa!
na nani?
wagondi!
Read : 653 times
Chukua Simu
Ghafla!Lyrics (Kenya)
