Artist: Vinticqueezy & Vyba
Song: Jiachilie
Year: 2010
Language: Kiswahili, Sheng
Verse 1
Hey this baby jamaa akazaliwa
jamaa akatoka, jamaa akaambiwa
mama nani kuna vile umezaa star
as if si enough huu ni chali wa mtaa
C.H.A.L.I wa mtaa
already unajua mi ni chali wa mtaa
mi huangaliwa kila time kama star
na kama sina time basi nakaa masaa
N.A.I.R.O.B.I ndio nimetoka
nimenoki mtaa yangu basi, niwe stalker
ka king nawa-kick back, ka game ya poker
nashinda niki-shuffle napata tu ma-joker
mi huwanga ready, ready kama ever
nitaacha ngoma two thousand and never
truth be told mi ni chali wa mtaa
na vile mi hu-party utadhani rockstar
Chorus
ka ni ku-party tunajua tu ku-party
ka ni kuroga si hutema tu vi-nasty
ka ni mavazi si huwaga tu ni panty
na ka ni ma-diva swali aina gani
ka ni ku-party tunajua tu ku-party
ka ni kuroga si hutema tu vi-nasty
ka ni mavazi si huwaga tu ni panty
na ka ni ma-diva swali aina gani
jiachilie ji-ji jiachilie...
Verse 2
basi sisi, hey ni nani basi
isipokuwa mimi pamoja na msanii flani
Vinticqueezy aka Sasabasi
nishawapa intro sa sikiza hii mistari
jina ni baba, occupation ni rapper
nikihisi njaa, mi hudishi fish kwa supper
nishakuwa m-hot
kama joto ya summer
niko rare
sipatikani kama Osama
anyway, jamaa nilikam tu ku-party
kuteremusha vinywaji kama Bacardi
kukatia wanawake above thirty
mkono nini mbaya nahitaji sugar mummy
nimemaliza kenye nilikam kufanya hapa
kabanjuka na hii track kutoka joint ya Chava
ka umeketi, tafadhali simama
kaka ashike dada, dada ashike kaka
Chorus
ka ni ku-party tunajua tu ku-party
ka ni kuroga si hutema tu vi-nasty
ka ni mavazi si huwaga tu ni panty
na ka ni ma-diva swali aina gani
ka ni ku-party tunajua tu ku-party
ka ni kuroga si hutema tu vi-nasty
ka ni mavazi si huwaga tu ni panty
na ka ni ma-diva swali aina gani
jiachilie ji-ji jiachilie...
Verse 3
K.E.N
si-need ku-say the rest
na ka Khaled mi nawika we the best
mi hutoa I.M kwa impossible
na sa kuni-I.M huwaga ni possible
na ka si mi, ni mimi na mi
ambapo either way huwezi avoid me
na Sasabasi mi hu-rep KE
oh my why lie, hii ni crazy
one thing na Uchumi, pia mi huwanga hyper
nisha-spit flow, sa saliva zimeisha
ka kawaida, ni mimi na mawaidha
niliziseti before kwa hivyo hii ni reminder
sinanga watch so siwezi tell time
kwa hivyo itabidi tupatane next time
na ka si next time tupatane some time
najua nimesema time kama full time
Chorus
ka ni ku-party tunajua tu ku-party
ka ni kuroga si hutema tu vi-nasty
ka ni mavazi si huwaga tu ni panty
na ka ni ma-diva swali aina gani
ka ni ku-party tunajua tu ku-party
ka ni kuroga si hutema tu vi-nasty
ka ni mavazi si huwaga tu ni panty
na ka ni ma-diva swali aina gani
jiachilie ji-ji jiachilie...
Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35
Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
Jiachilie
Ghafla!Lyrics (Kenya)
