Artist: VBO Strong
Song: Mafala Map***y
(One take, ye manze, BC ndani ya hii, Umo ndani ya hii,
Alfy ndani ya hii manze [vela inalietiwa]hii ni ya mafala wote wanahate,Rhyme zao haziwezi fika hapa, rhyme zao ziko chini man, Me ni big man [vela lazma kwa hii] ye! nawashow kuflow, nawashow kuryhme,ye! Go!)
Ma mc wanakazana kufanya punch lines,
Sifanyangi punch lines me hupunch verses,
Anytime juu ya stage me humove masses,
Kabla ubeef na sisi, kwanza ingia classes,
Ya rhyme, style, flow na grammar lessons,
Juu nikianza kuburst ni smith n Wesson,
Session ni beef na me nakupa blessing,
Ingia kwa hii ring, sa ni mic wrestling,
Unasema something, me naskia nothing,
Unajidai bursting, me naskia nothing,
Huwezi come rhyming, hii ni mic touching,
Ukisema something, unamove nothing,
Nakucrack, hadi vidole zinaspark,
Uko stuck huwezi hata move lips,
Uma ulimi juu hii verse inadig deep,
Unaanza kuumwa, juu we ulibonga cheap,
Juu ya VBO, BUGZ na MICHARAZO,
Nishaset mawazo, zinaaim mahaterz,
Wanabonga ndesho, mi namake papaz,
Ntawaacha chini men wakibeg ka lepers,
Usifurahi sana, si porno music,
Ka chini uskize ni dease music,
Niko serious ka ni kudease fala ka we,
We kifaranga, huwezi nipata me mwewe,
Wewe, inaka hujui me ni nani,
Niko worse than masako ka ako PG,
Unajidai G juu uliskia G MAMA leo,
Unanitupia mateke,kwani we ni leo,
Acha ufala, kuwa mjanja, toka mbio,
Ntakukata maskio juu hukuniskia,
Mi ni kichwa, we unacheza ka mkia,
Unalia, juu nimechukua ice yako,
Spice yako, ya kitambo ka collombo,
Bado vako zako ni za Rambo,
Come on, hii si Rambo bambo, ni boom,
Hii room inacheza tu hip hop doom,
Monsoon, blackmoon ka Halloween,
Niko sure, hii ni 100% win,
Ma mc bila skillz jipakeni sheen,
Ndio muonekane, nyi mafala mmebegin,
Me nakunywa gin, juu me ni mkali,
Ma mc masoap wanauliza maswali,
Chungeni, hii speed yangu ni ya ajali,
Na hizi rhyme zangu hazijali,
Niko mbali, sioni ka naweza rudi,
Hata baby G akivua booby,
Me nafanya tu Doo awache ku be..be,
Juu rhyme zake, husound ka telly tubby hii..hii, G..G,
Ulipiga aje magoti ukadai arusi,
Na micharazo, imeshamwaga kwa pussy,
Na hiyo pussy ushaioa na unaikissi,
Sisi, tulivuka nayo si mafisi,
Tukapach virusi kwa kutumia CD,
Na uliweka bidii kuipigia magoti,
We ni njoti, kwa hii ploti me ni noti,
Na drive moti, imejaa ma atoti,
Wanapiga tuu magoti,
Nawashika tuu matiti,
Weka bidii spidi spidi,
Nimewaingiza baridi ka pussy pussy.
We ni pussy ,We ni pussy bado una nyonya titi,
We ni pussy ,We ni pussy, We ni pussy click yako yote ni pussy,
We ni pussy, We ni pussy huwezi fika hii stage we ni pussy,
[manze ma mc wote wa west manze ni mapussy,ma mc wote wa south pia ni mapussy, hawawezi tufikia manze,eastlando tunaset standards manze,tunaset pace, nyi munafollow men,si ni maleaders,hamwezi manze, flow zetu ziko juu, game yetu iko juu manze, (Ha!Ha!Ha!) men hata sijui niseme nini manze, hamwezi manze,mi nawaambia hamwezi men, ye! Abbas hii ni yako fala men, ye manze unatombwa nini? We ni malaya nini? Nyi muna ujinga manze, nyi hamtuwezi men, Eastlando, Umo,Alfizo, Bc, men, si ndio tuko top manze, muna ujinga nyi muna umalaya.]
| < Prev | Next > |
|---|
