| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Jambo Bwana

Artist: Uyoga
Song: Jambo Bwana

Chorus

Jambo (jambo)
Jambo bwana (jambo bwana)
Habari gani? (Habari gani?)
Mzuri sana (Mzuri sana)

Jambo (jambo)
Jambo bwana (jambo bwana)
Habari gani? (Habari gani?)
Mzuri sana (Mzuri sana)

Jambo
Jambo bwana
Habari gani?
Mzuri sana (Mzuri sana)
Tuimbe tucheze sote
Kiswahili ni lugha ya Africa

Chorus
Jambo (jambo)
Jambo bwana (jambo bwana)
Habari gani? (Habari gani?)
Mzuri sana (Mzuri sana)

Jambo (jambo)
Jambo bwana (jambo bwana)
Habari gani? (Habari gani?)
Mzuri sana (Mzuri sana)

Jambo (jambo)
Jambo bwana (jambo bwana)
Habari gani? (Habari gani?)
Mzuri sana (Mzuri sana)

Verse 1
Leo tufurahi
Hakuna matata
Reggae babu kubwa
Hakuna matata
Burudani safi
Hakuna matata
Ah, tucheze sote
Hakuna matata

Kiswahili ndiyo lugha yetu ya Africa
Upende usipende utapenda kwa hakika
Ho (8x)
Michael Jackson kaimba Kiswahili
Lionel Richie kamfuata ni wa pili
Ho (8x)
Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani
Maisha Africa yatakua na thamani
Ho (8x)
Tuimbe tucheze tuseme Kiswahili
Supu ya uyoga ni tamu kweli kweli
Ho (8x)

Hakuna matata
Ho, hey 

Kiswahili ndiyo lugha yetu ya Africa
Upende usipende utapenda kwa hakika
Ho (8x)
Michael Jackson kaimba Kiswahili
Lionel Richie kamfuata ni wa pili
Ho (8x)
Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani
Maisha Africa yatakua na thamani
Ho (8x)
Tuimbe tucheze tuseme Kiswahili
Supu ya uyoga ni tamu kweli kweli
Ho (8x)

Hakuna matata (till fade)


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1217 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)