| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Futaa

">audio_icon_leftLISTEN TO 'FUTAA'audio_icon_right

Artist: The Matrix
Song: Futaa
Year: 2010
Producer: Rapdamu
Record Label: Pacho Ent.
Language: Kiswahili, Sheng

Chorus
ni futaa
game ya kibuda
take two man ni ka kujifunga
na mi sina time ya kujichunga
ni-show tu post
na mi nitatinga

ni futaa
game ya kibuda
take two man ni ka kujifunga
na mi sina time ya kujichunga
ni-show tu post
na mi nitatinga

Verse 1
game nimeanza na mioto inabidi nipoe
one-on-one bila experience huwezi toboa
sa nimeng'ethia kwa midfield na kando ni defense
shots zangu za post mi nataka zifunge
juu slogan ya leo ni kuchapa ilale
nikikuja round two, wacha ikae
one touch, iko, staki kelele
kwa grao siku hizi wao huniita tu Pele
ki-Beckham
naziweka tu mbele
kwa striking ni defence ni-do?
free kick, pena, zote ni zangu
sitacheza ngware, nitacheza na adabu
kama kufunga own goal haiwezekani
nimevai
dame hawezi kosa kunipa, ye ni away
home bado mi hutamba hiyo ni long shot
bado mi husamba
nime-die, nataka ku-relax tu
nidungeshae juu
after mechi
huwa nimechoka nataka ku-relax
at least nidunge shower

Chorus
ni futaa
game ya kibuda
take two man ni ka kujifunga
na mi sina time ya kujichunga
ni-show tu post
na mi nitatinga

ni futaa
game ya kibuda
take two man ni ka kujifunga
na mi sina time ya kujichunga
ni-show tu post
na mi nitatinga

Verse 2
ni futaa
game ya kibuda
mafans wanaicheki tu kwa uta
nipe pace ama nipe mafuta
nipate kuisoftisha nikishika
ball tu ni kutinga
story staki saa hizi niko junta
hakuna kitu mbaya ka kushika gwanta
alafu ukishika moja unadunda
manze ni blunder
chunga isiwe agenda
hii ni gameshot
naicheza vile naifeel na usini-blame
kila mara domo
mara swing swing swing kumbe tuko same
kumbuka ni futaa
game ya kibuda
opponent wangu
anaichukia
lakini kuna wenye
wanairukia
nikipeleka na mbele
anaifungia
nikirudisha na nyuma
anaichukia
ananipata kunichoma niko rada
juu hii ni
futaa
game ya kibuda

Chorus
ni futaa
game ya kibuda
take two man ni ka kujifunga
na mi sina time ya kujichunga
ni-show tu post
na mi nitatinga

ni futaa
game ya kibuda
take two man ni ka kujifunga
na mi sina time ya kujichunga
ni-show tu post
na mi nitatinga

Verse 3
game kali ya kale
inabamba vi-nasty
ni game si twaicheza
lakini wee
lakini wee
game kali ya kale
inabamba vi-nasty
ni game si twaicheza
lakini wee
lakini wee


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 268 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)