" target="_blank">
LISTEN TO 'SUPERSTAR'![]()
Artist: The Bugz
Song: Superstar
Album: Vako ni Mawezere
Year: 2009
Chorus
ana-taste kama candy bar
ananukia kama cucumber
ana-walk ana-talk
ana-smile ana-shake
ana-pose kama superstar
ana-taste kama candy bar
ananukia kama cucumber
ana-walk ana-talk
ana-smile ana-shake
ana-pose kama superstar
Verse 1 (Bobby Mapesa)
mami
wee ni msawa but beshte yako no
nishakucheki wapi I don't know
una figure ya kidada
unanitupisha rada siste umenimada
umebeba mavitu za wengine
kifua jo...
wonderbra pengine
una rangi ya jua
ndani ya nywele hadi ndani ya pua
unawaka waka
tukienda coast
matoast watasema nime-lost
natembea na ghost
wewe ndio the most
unafanya nasimama still kama post
ukivaa
ka miniskirt na kachupi
tusipoteze wakati maisha fupi
unanielewa eh
unanielewa sio...
unanielewa
macho zinawika mbona
sijawahi jo kuona
kamwili kama korna korna jo
ukiniumiza jo
siwezi pona
Chorus
ana-taste kama candy bar
ananukia kama cucumber
ana-walk ana-talk
ana-smile ana-shake
ana-pose kama superstar
ana-taste kama candy bar
ananukia kama cucumber
ana-walk ana-talk
ana-smile ana-shake
ana-pose kama superstar
Verse 2 (VBO)
ana rangi ya thao
inavutia kila mtu
mpaka wana-bow
figure
inatuacha tukisema wow
vile ana-move
anani-hypnotize
size ya dress yake iko far juu ya knees
brown cheese
ana-smell indian spice
hiyo ass nice
nishafika half
bend over
tuone vile umeji-curve
hizo hips zako ni ka za Toyota Rav
be my love
nikuonyeshe kuwa rough
moyo yangu Saf nikuandikie kwa thighs
eyes zime-meet
gwanyamo kwa bed
spread wide
ndio tucheze hii ngoma
unaniuma
I think candy bar ni sweet
acha kwenda off beat
feel lolly stick
oh yeah
maji thick kwa tip
Chorus
ana-taste kama candy bar
ananukia kama cucumber
ana-walk ana-talk
ana-smile ana-shake
ana-pose kama superstar
ana-taste kama candy bar
ananukia kama cucumber
ana-walk ana-talk
ana-smile ana-shake
ana-pose kama superstar
Verse 3
vile tu anasheki hiyo A
heartbeat inagonga ka Furahi day
vile tu anasheki hiyo A
heartbeat inagonga ka Furahi day
Kata kata kata
kidogo tu
Kata kata kata
kidogo tu
Kata kata kata
kidogo tu
Kata kata kata
kidogo tu
| < Prev |
|---|
