Artist: Tatuu
Song: Jua la Nyesha
Chorus
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Verse 1
Nani kasema, siku ya pambazuka,
Nani kasama, mpanda ngazi atashuka,
akionekana najua yeye atanyongwa,
mwana wa nyoka kapinduka kawa paka,
Chorus
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Verse 2
Siku za mwizi ni arubaini,
Na siku za giza ndizo za wadia,
Ukionekana najua yeye atanyongwa,
Mwana wa nyoka kapindukia,
Chorus
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Verse 3
Wanionaje, wanapa jembe nikalime, wadhani hii ni upweke,
Wanionaje, mwenye wivu ajinyonge,
Utajinyonga,a-ah
 utajinyonga,a-ah,
ayaee, ayaeee, ayae, jua la!
Mvua ya! Ayaee, ayaee, ayae!
Siku za, Ayaee, ayaee, ayae!
Chorus
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Jua la nyesha, mvua ya waka,
Siku za pita, kuna matata,
Jua la nyesha, a-a-a, mvua ya waka,
Jua la nyesha, a-a-a-, mvua ya waka,
| < Prev | Next > |
|---|
