Artist: Tattuu
Song: Daima
Year: 2010
Producer: Robert "RKay" Kamanzi
Language: Kiswahili, English
Verse 1
nadhania hii ni ndoto
najiskia mwili joto
kile nikishakuwaza
roho yangu yatuliza
nipe penzi la daima
la daima
nipe mkono wako
nielezee utakacho
sifa zako zatajiwa
toka pwani hadi bara
wavutia kila mara
kila mara
Chorus
nakuwaza moyo wangu
nakueleza uwe wangu
sijawahi kukutenda
roho yangu ishapenda
nipe penzi la daima
Verse 2
leo ni leo
nakubali niwe wako
cause I love you
kweli nakupenda,
nakutaka baby
forever, forever
so no letting go
I'm losing control
you're all I've ever wanted
all I've ever needed
and now I know you're mine
you're mine
Chorus
nakuwaza moyo wangu
nakueleza uwe wangu
sijawahi kukutenda
roho yangu ishapenda
nipe penzi la daima
nakuwaza moyo wangu
nakueleza uwe wangu
sijawahi kukutenda
roho yangu ishapenda
nipe penzi la daima
Outro
daima, daima
I wanna know
you're mine
forever, forever
u wangu daima
daima
| < Prev | Next > |
|---|
