| 
A+ R A-

(1 vote, average 5.00 out of 5)

Clande

Artist: Syd
Song: Clande

Intro

Mandugu Digi
OK
Syd Justice
kwa mara nyingine tena
it's your boy
it's called the bounce

Chorus
Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Verse 1
niko kwenye capital kama yule Kirubi
utanipata Jaba bar in dime and rubies
OK sio matusi but
hawa madame mazee wana upuzi
sa madame ati mara ni school fees
sa madame ati mara ni cupid
wamejipanga utadhani ma-toothpick
ha ha ha...excuse me
wangapi wangetaka kuwa ka Daudi
better yet kama yule Mswati
unajipata na madame kila korna
unaona unasema walai nitaokoka
OK basi
hebu ngoja
Solomon je?
ye ni mnoma
kuwa na wife kama thao na maclande mia sita
kusema kweli mazee najivunia

Chorus
Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Verse 2
kuna clande wa reggae
wa bilenge
wa kengekenge
hakuna venye
yuataka wembe
apate mwewe
maze clande si wa pete
so sidhani ya kwamba umeangukia coz
unaeza pata mwenye
ako ma-menopause
hebu ngoja pose
usiwe unaji-force
yani ule ule mwenye huwa na mapozi
clande msomi
clande homie
clande mwenye hu-roll na kina Johnny
clande copy
clande choppie
clande softie na mwengine ni m-boring
kuna wa profit
kuna wa loss
kuna wa off peak na kuna wa post
kati ya hao wote
where do you fall
here we go sing along let's go

Chorus
Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Verse 3
tuwache mipango za kando
ambapo
lakini mimi si chief Mirambo
siwezi judge siwezi zima candle
siwezi funga yule nyoka kwenye pango
nasema mambo yote black and white kama
zile toons za kitambo za Gado
but that's alright
kila mtu anajua what's wrong and right

Chorus
Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!

Clande wa Monday
Clande wa Tuesday
Wednesday ako kwa club akitafuta yule
Clande wa Thursday
na Clande wa Friday
na Sato na Sunday
Hey!


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1099 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)