Artist:Swaramimi
Song:Nitakuficha nini
Year:2008
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Nitakuficha nini Ewe Mungu Muumba wangu
Kwani siri yangu ya kwangu Wewe Unaijua yote
Nitembeapo ata nilalapo Baba Unanijua
Mawazo yangu na matendo yangu, yote Unayajua
Ata nyumbani kwa mama yangu Unakujua
VERSE 1 LYRICS:
Kwani mimi nikimbilie wapi ili niutoroke tuzo wako
Kwani mimi nikimbilie wapi ili niutoroke tuzo wako
CHORUS LYRICS:
Nitakuficha nini Ewe Mungu Muumba wangu
Kwani siri yangu ya kwangu Wewe Unaijua yote
Nitembeapo ata nilalapo Baba Unanijua
Mawazo yangu na matendo yangu, yote Unayajua
VERSE 2 LYRICS:
Ni kwa ajabu nchini kwa huku Kwako, Wewe Unatawala
Sasa mimi nikimbalie wapi ili niutoroke uso wako
Sasa mimi nikimbalie wapi ili niutoroke uso wako
CHORUS LYRICS:
Nitakuficha nini Ewe Mungu Muumba wangu
Kwani siri yangu ya kwangu Wewe Unaijua yote
Nitembeapo ata nilalapo Baba Unanijua
Mawazo yangu na matendo yangu, yote Unayajua
VERSE 3 LYRICS:
Ninakukimbilia, ninakufwata, Wewe wanitazama
Nakimbia, sina cha kujikinga, kama ni mbali nawe Mungu wangu