Artist:Swaramimi
Song:Ningekuwa na mabawa
Year:2008
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Ningekuwa na mabawa ningeruka hadi binguni
Ningekuwa na funguo ningefungua mlango wako
Niingie nyumbani mwako nikuimbie Mungu wangu
katika makao yako, makao ya milele

VERSE 1 LYRICS:
Malaika wanakuimbia nyimbo nzuri za furaha
Majeluhi na Masela wanasifu Jina Lako
CHORUS LYRICS:
Ningekuwa na mabawa ningeruka hadi binguni
Ningekuwa na funguo ningefungua mlango wako
Niingie nyumbani mwako nikuimbie Mungu wangu
katika makao yako, makao ya milele
Niingie nyumbani mwako nikuimbie Mungu wangu
katika makao yako, makao ya milele
VERSE 2 LYRICS:
Ningekuwa mimi ni bahari, ningevua kwa sauti
Ningekuwa mimi ni kengele, ningelia usikie
CHORUS LYRICS:
Ningekuwa na mabawa ningeruka hadi binguni
Ningekuwa na funguo ningefungua mlango wako
Niingie nyumbani mwako nikuimbie Mungu wangu
katika makao yako, makao ya milele
Niingie nyumbani mwako nikuimbie Mungu wangu
katika makao yako, makao ya milele
VERSE 3 LYRICS:
Mola mimi nitakuimbia siku za maisha yangu
Nitaimba sifa zako Bwana ili watu wasikie
CHORUS LYRICS:
Ningekuwa na mabawa ningeruka hadi binguni
Ningekuwa na funguo ningefungua mlango wako
Niingie nyumbani mwako nikuimbie Mungu wangu
katika makao yako, makao ya milele
Niingie nyumbani mwako nikuimbie Mungu wangu
katika makao yako, makao ya milele
VERSE 4 LYRICS:
Naamini kwamba siku moja nitafika mbele Yako
Natamani sana kuja kwako kwenye raha ya milele