| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Leta Show

" target="_blank">LISTEN TO 'LETA SHOW'

Artist: Suzuki & Risasi
Song: Leta Show
Year: 2004
Producer: Bably Omar
Record Label: Tabasamu Records

Chorus (Risasi)

chochote unachofanya wewe fanya ukijua
unafaa kuleta show
kiwa unazubaa wewe vaa ukijua
unafaa kuleta show
unapotembea wee tembea ukijua
unafaa kuleta show
unapokatika wee katika ukijua
unafaa kuleta show

Verse 1 (Risasi)
kukuhakikisha kila kitu nina-do
kivyovyote isiwe udo
kama ni kukatia manzi supuu
yeye hu-stick kama glue
watu wanafaa kujua wee uko masaa
wasiku-confuse na fala maana
wanafaa kujua wana-deal na star
ndio unaleta show

Chorus (Risasi)
chochote unachofanya wewe fanya ukijua
unafaa kuleta show
kiwa unazubaa wewe vaa ukijua
unafaa kuleta show
unapotembea wee tembea ukijua
unafaa kuleta show
unapokatika wee katika ukijua
unafaa kuleta show

Verse 2 (Suzuki)
'taingia kwenye club na ma-bling bling
cheki wale watu tume-bring bring
wanaleta show kama queens and kings
juu ya hewa wana-walk utadhani wana wings
cheki zile nguo tumevaa vaa
hizi vitu unaeza ita fwaa fwaa
mziki wanafaa kujua tumetoka far
kutoka siku za masaa hatujalala

Chorus (Risasi)
chochote unachofanya wewe fanya ukijua
unafaa kuleta show
kiwa unazubaa wewe vaa ukijua
unafaa kuleta show
unapotembea wee tembea ukijua
unafaa kuleta show
unapokatika wee katika ukijua
unafaa kuleta show

Verse 3
usijali kama watasema unaringa
wee ng'ara tu wenyewe watajigonga
bora unajua wewe hujachoma picha
na manicure ushapata zako kucha
nguo ulizovaa ukivaa in a rush
na kivyovyote rangi zake huja-clash
umeteketa sana cheki vile wana-blow
ndio unaleta show

unafaa ku-walk kama champion
unafaa ku-talk kama champion
unafaa ku-dress kama champion
unafaa kuleta show

unafaa ku-walk kama champion
unafaa ku-talk kama champion
unafaa ku-dress kama champion
unafaa kuleta show

Chorus (Risasi)
chochote unachofanya wewe fanya ukijua
unafaa kuleta show
kiwa unazubaa wewe vaa ukijua
unafaa kuleta show
unapotembea wee tembea ukijua
unafaa kuleta show
unapokatika wee katika ukijua
unafaa kuleta show

Verse 4 (Risasi)
kukuhakikisha kila kitu nina-do
kivyovyote isiwe udo
kama ni kukatia manzi supuu
yeye hu-stick kama glue
watu wanafaa kujua wee uko masaa
wasiku-confuse na fala maana
wanafaa kujua wana-deal na star
ndio unaleta show

Chorus (Risasi)
chochote unachofanya wewe fanya ukijua
unafaa kuleta show
kiwa unazubaa wewe vaa ukijua
unafaa kuleta show
unapotembea wee tembea ukijua
unafaa kuleta show
unapokatika wee katika ukijua
unafaa kuleta show


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 967 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)