Artist: Susumila
Song: Sianzi Leo
Producer: Chapatizzo
Record Label: Beat ya Kanali
Language: Kiswahili
Chorus
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
Verse 1
macho yote kwangu wanacheki step zangu
najua watu wengi wanapenda sauti yangu
sifuri kichwa, nafanya tu bidii
nakosana na watu, ikibidi
kama kungoja mi ntangoja
hata Roma haikujengwa siku moja
ndio maana kila siku niko studio
siko mitaani, sina time na milupo
nakamua kwa uwezo, na situmii hirizi
natunga mashairi, nakosa usingizi
Chorus
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
Verse 2
kilele za chura hazinitishi kunywa maji
naishi vizuri, na changu kipaji
mi nasaka bingo, nasaka mkaaji
yo, Mola ndio mpaaji
number one hustler, one in a million
got a wisdom kama King Solomon
mtoto wa kombo, natawala Pwani
I say hunijui
mi natoka chumani
bado niko, gangariki noma
matawi ya juu na mfuko umefura
nikipanga na life
mi singecharara
bado sibabaishi
na wasanii mswara
wana wivu na mimi cause nimekubalika
washamba wana-diss, wapate kuskika
OK, ongeza mikakati
endelea ku-diss maybe utashika dhati
Chorus
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
Verse 3
maanake
makamuzi kama kawa
Susumila, mi na-roll kila place
maanake
makamuzi kama kawa
e-yo DJ, zungusha santuri
maanake
makamuzi kama kawa
Susumila, niko Green House Records
maanake
makamuzi kama kawa
e-yo DJ, zungusha santuri
Chorus
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
sianzi leo, simalizi kesho
nilikuwepo, nitakuwepo
sifanyi leo, niwache kesho
nipo, nitakuwepo
| < Prev |
|---|
