| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Ukiwa mbali

Artist:Sorai Sunthra ft Kizo B
Song:Ukiwa mbali
Year:2011
Language:Kiswahili

CHORUS LYRICS:


Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka
Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka

VERSE 1 LYRICS:


Easy go easy come, easy wawawa
wakiniona hao wanadhani mi ni easy-go
eti wanasema penzi letu ni ya kanyoka
ata uwe mbali nitazidi kukupenda
ata wakichonga nitazidi kukupenda
ata wakinuna nitazidi kukupenda
njoo nikukande, kande nikupande
na ata ukitaka nitakupa matamtam
njoo nikusho kwani vile mi huduu
my love for you is real, lets talk about the deal
kwako nimesign seal, ni wee pekee nataka
wachana njaro zao kwani hizo ni mapepe
ata Jua Kali alisema kelele
hamchoki, hamchoki

CHORUS LYRICS:


Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka
Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka

VERSE 2 LYRICS:


Kwanza kabisa mi nasema nakupenda
sijali wanayosema wanamwenziba
kama mapenzi, mapenzi ya wawili
na wa tatu Mungu Aliyetuumba ma'
ni Kizo B AKA Big Swaga
ama 6 figure makaz D saba
walinidadisi nikwache uende
na keimo akasema ulikuwa kwake ma'
mi sijali wanacho sema
nachojua jua mie nakupenda girl
sijali wanachotaka, nachojuajua minakupenda girl
sikiza boo nakupenda we, hakuna mwingine we baby

CHORUS LYRICS:


Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka
Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka

VERSE 3 LYRICS:


I need you I love you, I want you by my side
believe me when I say you are one in a million
the more I think of you is the more I fall in love
baby please don't hurt me you know you are my hero
toka kila siku tuwe pamoja nawe
nakonda nawaza nashikwa na mawazo
mwanao kila siku baba yetu yuko wapi
we are meant to be together, don't hurt me, I need you

CHORUS LYRICS:


Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka
Baby girl, ukiwa mbali nakosa raha mama, mama
Boy, ukiwa mbali nakosa raha kaka, kaka

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 220 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)