Artist: Solomon Mukubwa
Song: Mfalme Wa Amani
Album: Mungu Mwenye Nguvu
Language: Kiswahili
Verse 1
Daudi kasema nilkuwa kijana sasa mi mzee
Sijawahi ona mwenye haki amewacha mimi
Wala watoto wake kuomba omba mikate barabarani
Mungu ni mwanifu kwa ahadi zake mwanadamu
Mungu ni mwanifu kwa ahadi zake si kama wanadamu
Akiongea Yesu ameongea
Akikuahadia kitu amekuahadi na ujasiri
Atatenda kwa wakati wake
Ninamuita bwana wa amani
Ninamuita mfalme wa amani
Ndio maana mimi ninaimba kwa sababu ya amani yake
Ni uwezo gani unampinga Yesu
Chorus
Mfalme wa amani uinuliwe
Wewe ni mwema bwana wangu
Comments (1)
-
|Registered |2011-10-06 11:58:48 julsthis song goes out to all who feel that God has abandoned them! yeye ni mfalme wa amani!
Powered by !JoomlaComment 4.0 beta2
| < Prev | Next > |
|---|
