Artist: Slovo
Song: Oya
Chorus
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Kama ngoma imebamba mpaka unashindwa kula rumba sema, oya!
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Oya, (oya) oya (oya), oya wote oya (oya)!
Verse 1
Zag zaga, zig zaga ji baba, sugar daddy slovo, mamanzi soo ngovo, za taga,
Zag zaga, zig zaga ji baba, sugar daddy slovo, mamanzi soo ngovo, na bado,
Wakati wa kuweka mic chini, bado kama gado na cartoon!
Bado bado, mambo bado, nakuwacha kwenye mataa umezubaa,
napita kama shadow mpaka ubaki dou!
Diablo, halo nakupa pop, dame yako akizubaa nina piga goal,
Na bado, wacha ni get busy, na mamanzi waki doze si malover, watokwe na machozi!
Chorus
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Kama ngoma imebamba mpaka unashindwa kula rumba sema, oya!
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Oya, (oya) oya (oya), oya wote oya (oya)!
Verse 2
Kwenye floor, twakirusha kujirusha, hakuna ku yeyusha, twa furahia maisha,
Natasha atingisha, mbao anitupisha, natamani kumgusa gusa rasa,
Kama ngoma ni tamu, ebu tabasamu, kwenye floor fanya vituko,kula hepi yako,
Kama ngoma ni tamu, ebu tabasamu, kwenye floor fanya vituko,kula hepi yako,
Chorus
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Kama ngoma imebamba mpaka unashindwa kula rumba sema, oya!
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Oya, (oya) oya (oya), oya wote oya (oya)!
Verse 3
Zag zaga, zig zaga ji baba, sugar daddy slovo, mamanzi soo ngovo, za taga,
Zag zaga, zig zaga ji baba, sugar daddy slovo, mamanzi soo ngovo, za taga,
Hivyo ndivyo ilivyo, Hivyo ndivyo ilivyo,
Kwa hivyo mimi hapa nakupa hivyo,ilivyo,
Mzee wa kaz, mic ina lala usingizi,
Kucheki wizi wizi, huwezi shika mic kama chizi,
Heri kushika mic na kutema ryms hizi, kuliko kua mwizi, ngeta mwisho wa mwezi,
Mzee wa kaz, piga miti kali bila was, hata paparazzi wabaki mdomo wazi,
Kama ngoma ni tamu, ebu tabasamu, kwenye floor fanya vituko,kula hepi yako,
Kama ngoma ni tamu, ebu tabasamu, kwenye floor fanya vituko,kula hepi yako,
Kama ngoma ni tamu, ebu tabasamu, kwenye floor fanya vituko,kula hepi yako,
Kama ngoma ni tamu, ebu tabasamu, kwenye floor fanya vituko,kula hepi yako,
Chorus
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Kama ngoma imebamba mpaka unashindwa kula rumba sema, oya!
Oya mabeshte, oya (oya)
Oya ma siste, oya (Oya)
Oya, (oya) oya (oya), oya wote oya (oya)!
Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35
Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
Oya
Ghafla!Lyrics (Kenya)