| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Jirushe

Artist: Sister P
Song: Jirusha

Chorus
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game

Verse 1
Ni Lora e na tingisha kwenye fani yo, ni mezungukwa na mase kwa club,
Utaki kaa pembeni, wenye fan kujeni, na kuja hivi na flow, ae mi ni soo,
Nina zipenda pia zile za kujishow, ukiwa hivyo nitakuona kama mchimba choo,
Wasela wangu ndani ya club, watasema yo, yooo,
Ni hivi mi na shika mic, slow slow,
Kwenye jamii na wakilisha mi sio msoo,
Siuna jua bongo, kile kitu hongo,
Watu wana ruka wana teste, na mi na wa hit,
Ukileta udos kwetu, sisi hatufagilii,
Sema ni unataka, kama plan utapata, mingi mingi, inge tatu,
We mtoe nab ado sema aha, mnataka kunata, aa!
Tunataka kunata, aa!

Chorus
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game

Verse 2
Ni diye loom, nime microphone , ni dat,Amekula ni mdwat,
ni nana,mi na boom, mi napenda wote tuta party, turuke tu!
Amani iwe kwa wote, boom boom, mayege tuna cheza karata,
Ni juze ni me data, kuna kitu unataka boom, boom,
Shake, shake, dance hall kwa hii track, hip hop, ragga, regge mpaka kuna coolcha,
Piga picha, sholder, piga ka jificha,
Ee tingisha nyeke, anamtafuta ee no!
Toka tucheze ham-ing, ham-ing!

Chorus
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game

Verse 3
Nili lo li lou, tuko sasa,Songa karibu kiuno kata,
Cheza nami, cheza naye, usishangae,
Akileta yake mapozi achana naye.
Kwani ngoma ndilo hili, usi subahi,
Kwani ngoma ndilo hili, usi subahi,
Acha kuleta mayoe, ata wauwane mwenyewe, acha kuleta mayoe (ndani ya lakairu)
Acha kuleta mayoe, ata wauwane mwenyewe, acha kuleta mayoe( ndani ya deal)
Tutame do me, kujeni tu party party mpaka kuche, waist tuzungushe, glass tungongeshe,

Let me hear cheers, cheers,
Ogopa DJs, Ogopa DJs, boom,boom
Machick,machick ee,boom boom,
Ogopa DJs, Ogopa DJs, boom,boom
Machick,machick ee,boom boom,

Chorus (till fade)
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game
Tuna jirusha, tuna jirusha, tuna jirusha, kwa hii game,hii game
Twa wakilisha, twa wakilisha, twa wakilisha, kwa hii game, hii game
Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 80 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)