| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Freestyle Verse

Artist: Simon Skippa
Song: Freestyle Verse
Year: 2009


walisema na sa nimekubali ati no news is good news
ata wakisema tutapata katiba mpya kwa news
ya nini na iyo committee of experts ilishalenga our views
my only hope ina-lie kwa pages za bible ya Good News
ata ka kwa exam ya CRE tuliitumia kama mwakenya
ilibidi jo tujiokoe, siunajua hii ni Kenya
tutumie njia poa au mbaya, bora tumepenya
si ata South africa walishindiwa gold medal na semenya?
na anapigana kuwa manzi ka migingo kuwa ya Kenya
wanasiasa daily na ahadi hazitimiii wazidi kutudanganya
ka Christiano Ronaldo na mpira wanatuchanganya
kura yako ndio sauti yako 2012 si unajua cha fufanya?

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 738 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)