| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Haleluya

Artist: Simba wa Nyika
Song: Haleluya
Language: Kiswahili


haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

pesa baba zina mambo
waliozichota kwa wingi walikwenda ng'ambo
kuishi kule walirudi na vyombo
saa kidogo, mifuko ikakawa kombo eeh
na sasa wamenjachuka eeh
eeh baba

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

dunia baba, twaenda wapi
binadamu baba twaenda wapi
ndugu kwa ndugu, twauwana bure
ukiangalia mama
hii ni ya tamaa
oh Mwenyezi Mungu mama
hebu tusamehe
dunia irudi
kama zamani
haleluya

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

pesa baba, zina mambo
zinaleta moto katika dunia eeh
bila kuwa na noti mambo yako ni kombo
ukiwa na kibunda mambo yanakuwa shwari
ukijonza kibunda popote utakwenda eeh
ona tu ni kibunda eeh
baba kibunda eeh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

Mwenyezi Mungu tunakuomba eeh
uweke dunia yetu kwa roho safi
kwani dunia pabaya huenda mtamaa
ndugu kwa ndugu twamalizana
ukiangalia baba tamaa ya pesa
ukiangalia tamaa ya madaraka
ukiangalia tamaa ndogo ndogo
oh Mwenyezi Mungu
rudisha dunia pamba
iwe kama zamani
enzi Adamu na Eva
haleluya eeh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh...

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

pesa baba zina mambo
waliozichota kwa wingi walikwenda ng'ambo
walirudi wamejaza vyombo baba
siku kidogo, mifuko yao ikawa kombo eeh
sisemi

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

Mwenyezi Mungu
la kusema sina
kwa jina la Baba
oh na la Mwana
oh na la Roho
hiyo ni mambo matatu
amani mapenzi
na umoja
haleluya

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh

haleluya, mama ooh
haleluya, mama ooh


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 447 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)