Artist:Si-So
Song:Majuu Kaguu
Year:2012
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Niko juu naaenda majuu kaguu eeh...
Kanyaga chini na vidole...
Kichwa juu...
VERSE 1 LYRICS:
Nacheka juu watiaji hawataki kunipa visa,milango ya ofisi yao wamefunga kabisa hizi show lazma nipige,hizi dough lazma nishike,si lazima nipande ndege ndio kwenye naenda nifike ah route eleven mainroad juu ina traffic lights nadhani ni undercontrol vuup! ndio hiyo trailor ya petrol biashara kunichota na nyuma imeandikwa danger so naingia kichaka juu kuna giza torch yangu inawaka ka george of the jungle naswing from tree to tree kama chimpanzee nafly bila mabawa hii adventure ni ya power...
CHORUS LYRICS:
Niko juu naaenda majuu kaguu eeh...
Kanyaga chini na vidole...
Kichwa juu...
VERSE 2 LYRICS:
Napanda mamountain naenjoy view ya hao few walikataa kuhustle wakingangana kupanda na hawana muscle naona sahara imeparara na inakaa place ya swara sijali najua si-so sitakosa any Genge ni hump yangu nina food na maji macladi na maganji vila solar ni kali inanibamba nikijua kuna oasis mahali,hizi masura geni mafans mamillioni sa napanda ngamia na cairo ndio naingia mapyramid na masculpture za pharaoh ka soap opera nawish ningekua na kakamera............
CHORUS LYRICS:
Niko juu naaenda majuu kaguu eeh...
Kanyaga chini na vidole...
Kichwa juu...
VERSE 3 LYRICS:
Nakutana na maukuta(NAZIBOMOA),Mamito biggy kuzivuka(NA NINATOBOA)
Nikikwamakwama ama kwa maji nikizamazama(NAJIOKOA)
Nachukua hatua nakeep time na jua ndio safari nimalize kabla maisha haijatua naruka mabridge na navuka macliff
vile pacific ni deep na kuna mashark ndani swali ni mi nitavukaje hii bahari
kiavatar nabebwa na eagle juu kwa juu hadi mujuu
vumbi napanguzwa na mashore wasupuu najua sirudi kaguu yeah
CHORUS LYRICS:
Niko juu naaenda majuu kaguu eeh...
Kanyaga chini na vidole...
Kichwa juu...
| Next > |
|---|
