" target="_blank">
LISTEN TO 'MUTHONI KIFAGIO'![]()
Artist: Short But Tough Karish
Song: Muthoni Kifagio
Language: Kiswahili
Muthoni nikiku-remember K.K natoka jasho
Muthoni nikiku-remember natiririkwa na machozi
nikikumbuka vile nilikuwa nimeku-keep kwangu
Nairobi kwa nyumba yangu na hukuwa wee unatosheka
wewe ni uselessi
wewe ni baselessi
Karish mwana Muembu sita-forgeti your behaviour
maisha ukiwa kwangu ni kama ya paka wa dukani
kila siku nyama choma na kadhalika na etcetera
mwishowe niligundua mimi Kari nikienda kazi
unaingia mtaa unarudi mbaya kama matatu
mimi na-regreti
wewe ni dangerousi
wewe ni callboxi ya kutumiwa na kila mtu
if I can remember the day tulionana na wewe
ulikuwa very thin and worn out if I remember
sidhani kama kuna mwanaume angekufikiria
na mimi nikakulisha mpaka ukamea madiaba
sasa huambiliki
wala husemezeki
kazi niliofanya upate shepu umesahau
Jumapili yake shida ni huu nimeenda overtime-u
nikatoka nikapigapiga roundi nikikutime-u
nilikuona fiti sana hata ukivuka Jogoo Roadi
hata haukujali kuangalia kama iko gari
kumbe wewe ni taxi
sio personal car
whether you like it or not mama nimekusare
Muthoni siku hizi unahitaji uaminifu
na bado naona wewe ni kifagio ya City Council
Muthoni niondokee sitaki ukifa nikufuate
hujali kufungwa na karatasi ya nyloni Kenyatta
chunga maisha mami
adhabu iko duniani
usipogongwa na gari utaugongana na ukimwi
ukipendana Wayowa
jaribu uaminifu
ukipendana Muthoni
jaribu uaminifu
ukipendana Kameme
jaribu uaminifu
usipogongwa na gari
utagongwa na ukimwi
usipogongwa na gari
utagongwa na ukimwi
aee mama
utagongwa na ukimwi
aee mama
utagongwa na ukimwi
| Next > |
|---|
