Artist:Sharama Ft Abbas
Song:Sharabbas
Year:2011
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Sharama:
kama kawa, Mupaye na Jerry Dobbiez zibidi tunadu bizz
unadhani hii game ni eaze? ndogo ndogo chipukizz
yeah hii track kwa machiz, big up to my nigga Big Chiz
Yap yoh kama kawa, si ni kabom Sharama na Abbas Kubaff
kwenye mic hatutaki upumbaff, without this shit, gangstar music
Headbangers International, tunafunika over Arsenal
tunakuja na sira mamakal, nawachapachapa, niko real, natafuta chapaa
hii rap sijaanza leo, toka underground kwa redio mpaka kwa video
hey yoh pande hii nakupiga K.O, kata flow 1-2-1-2
natafuna mic natoa new flavour
mupaye kipeye zibidi nakupa real
toka underground skiza ino sound, Sharama na Abbas Kubaff twawapiga baff
CHORUS LYRICS:
Ni Sharama na Abbas Kubaff
kicwa kibovu hatutaki upumbavu
ukoo K-South yeah thats whats up
toka MSA mpaka NIB
na mafans hands up, na mafans stand up
na mafans hands up, na mafans stand up
na mafans hands up, na mafans stand up
VERSE 2 LYRICS:
Abbas:
Mi ni yule toka C-vo, kubaff ata pia mimi kichwa kibov
supose wakikapuka na kuleta mapoz, ofcoz tutawashikanisha matisho
hii ni ya wale hutupa mashow, poster zimetolewa hawajalipa depo
owe! nitakuteka weh kama chipo, kwa van ni Sharama me na kina Cido
owe! utajua shida yetu si doh, mziki zao kwenye redio mi zinanibo
naweka hii cd kwa sterio, kangeta njugu Big G hakuna kudose
mafans nawasalute ka constable, toka East to West yani Coast to Coast
tumewabamba kama goli post to post, basi tost mezani tukiwa juu ya misos
hii ni jam kwenye bed Coast to Coast, industry si ni wife ya kendivos
oldschool kama ngepa ya Ojwang sivote, niko stone kama FC kwa game ya Gor
Awor, nimescore ju dame ana ball, sharabbas tuko off the wall
kama MJ basketball
CHORUS LYRICS:
Ni Sharama na Abbas Kubaff
kicwa kibovu hatutaki upumbavu
ukoo K-South yeah thats whats up
toka MSA mpaka NIB
na mafans hands up, na mafans stand up
na mafans hands up, na mafans stand up
na mafans hands up, na mafans stand up
VERSE 3 LYRICS:
Sharama:
Tuko full, yani majani ya juu kwa mafans
mikono juu, super DJ hebu nipe replay
rewind ngoma mapriest watakoma, natena nyoso
kinyosonyoso, ni Sharabbas tunatema 16 bars
hii ni kabov hapa ni vichwa vibov
alutakontinua makamuzi yanaendelea
Abbas:
Kwenye mic si ni Sharabbas, haya basi skiza ukarabat
weka maverse MCs wakikunja face napiga pasi
mo fire najiblaze naunda nyasi, natema kama pistol kama risasi
mbili kama skipso wasiwasi, kwenye track kama kipcho
si Abunwasi, bado nina sick flow, makamasi
nakuja kama sitcom kila wakati, mabin kama clinton cheki kabati
Lewinski na Sifon chini ya kabati, chini ya dawati
CHORUS LYRICS:
Ni Sharama na Abbas Kubaff
kicwa kibovu hatutaki upumbavu
ukoo K-South yeah thats whats up
toka MSA mpaka NIB
na mafans hands up, na mafans stand up
na mafans hands up, na mafans stand up
na mafans hands up, na mafans stand up