Artist: Sauti Sol
Song: Sofia
Album: Sol Filosofia
Year: 2011
Producer: Wawesh
Record Label: Penya Africa
Language: Kiswahili
utanikumbuka Sofia navyocheka navyotabasamu
utanikumbuka Sofia mapenzi yangu ya ajabu
giza nene lilitanda moyob wangu uliponiacha
machozi nayo kanitiririka niendeje mama
Chorus
utanikumbuka Sofia
utanikumbuka, utanikumbuka
navyocheka navyotabasamu (utanikumbuka)
mapenzi yangu baibe (utanikumbuka)
giza na taa (utanikumbuka)
dhiki faraja (utanikumbuka)
giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha
machozi nayo kanitiririka nafanyeje mama
Chorus
utanikumbuka Sofia
utanikumbuka, utanikumbuka
kwaheri, kwaheri Sofia
Chorus
utanikumbuka Sofia
utanikumbuka, utanikumbuka
| < Prev | Next > |
|---|
