Artist: Sauti Sol
Song: Mbinguni
Album: Sol Filosofia
Year: 2011
Producer: Wawesh
Record Label: Penya Africa
Language: Kiswahili
Cherie analie amechoka na dunia yake
anauliza
Chorus
mbinguni ni wapi
mbinguni mbinguni yeyeyeee
ningependa nifike
mbinguni
nimesikia malaika wakiongea wakisema
ni kuzuri kusawa yayaya
Chorus
mbinguni ni wapi
mbinguni mbinguni yeyeyeee
ningependa nifike
mbinguni
mbinguni kumejawa na malaika
hakuna hofu na shida
kila kitu ni shwari
mbinguni tutaenda na kina nani?
iyo oh oh oh
Chorus
mbinguni ni wapi
mbinguni mbinguni yeyeyeee
ningependa nifike
mbinguni
| < Prev | Next > |
|---|
