Artist: Sauti Sol
Song: Malikia
Album: Sol Filosofia
Year: 2011
Producer: Wawesh
Record Label: Penya Africa
Language: Kiswahili
wengi wao wamenyosha mikono wataka upokezi toka kwako
na hata wenye magari ya kifahari wajua kwako wewe hawatoshi
usinilenge, usinipeleke peleke huku na kule
uje unipende uje na hata hao mapacha unizalie
njoo nikumiliki milele uwe wangu tupendane
wewe ni mi mimi ni wewe uwe wangu tuoane
usinifungie pazia malikia nakuita
Chorus
malikia nakuita we uje unizalie
malikia nakuita we uje uje
mabepari wasona mapenzi halali wanazidi kukunoki hoi
na hata wenye magari ya kifahari najua kwako wewe hawatoshi
usinilenge, usinipeleke peleke huku na kule
uje unipende uje na hata hao mapacha unizalie
njoo nikumiliki milele uwe wangu tupendane
wewe ni mi mimi ni wewe uwe wangu tuoane
usinifungie pazia malikia nakuita
Chorus
malikia nakuita we uje unizalie
malikia nakuita we uje uje
malikia karibia...
Chorus
malikia nakuita we uje unizalie
malikia nakuita we uje uje
| < Prev | Next > |
|---|