Mafunzo ya dunia, niishi niose, nisote nikope, nipate ya wote
Utatembea pengi, macho ni mengi sikio ni mbili tumia akili
Uwe wa kwanza, usiwe wa pili, maisha si movie katika hizi enzi
Ooh Dunia, mbona hukunipa penzi
Maisha haya, kwako hapa ni magumu
Ninavumulia, mwisho nitajivunia
Ya dunia, mbono kukunipa penzi
(mimi nina shanga)
Oh mimi nina shangaa
Nilifanya nini, ilinishi hivi, maisha yangu dunia
Naimba hii muziki, nipate riziki, mwishonita nawiri, niendeshe mercedes
Oh nitapaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
Oh dunia, mbona hukunipa penzi, maisha haya
Kwako hapa ni magumu, ninavumilia mwisho nitajivunuia
Ya dunia mbona hukunipa penzi
Mimi nina shangaa
| < Prev | Next > |
|---|
