Artist:Sarah Mbogo
Song:Jehovah
Year:2010
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Asante Mungu wangu Asante
pokea shukrani popkea
Asante Mungu wangu Asante
pokea shukrani popkea
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
VERSE 1 LYRICS:
Uu Mungu hana pasi nyingine
Hufananishwi na binadamu
Uu Mungu hana pasi nyingine
Hufananishwi na binadamu
CHORUS LYRICS:
Asante Mungu wangu Asante
pokea shukrani popkea
Asante Mungu wangu Asante
pokea shukrani popkea
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
VERSE 2 LYRICS:
Uu Mungu hana pasi nyingine
Hufananishwi na binadamu
Uu Mungu hana pasi nyingine
Hufananishwi na binadamu
CHORUS LYRICS:
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
VERSE 3 LYRICS:
Uaminifu Wako ni wa ajabu
Upendo Wako ni wa ajabu
Uaminifu Wako ni wa ajabu
Upendo Wako ni wa ajabu
CHORUS LYRICS:
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
VERSE 4 LYRICS:
Kubariki unabariki
kuinua unainua
Kubariki unabariki
kuinua unainua
Kuponya Wewe mponyaji
kuokoa Wewe Mwokozi
Kuponya Wewe mponyaji
kuokoa Wewe Mwokozi
CHORUS LYRICS:
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
Kimbilio langu kimbilio
tegemeo langu tegemeo
Kimbilio langu kimbilio
tegemeo langu tegemeo
CHORUS LYRICS:
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
Jehovah...
hakuna kama Wewe hakuna
