| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Mwimbieni Bwana



audio_icon_left" target="_blank">Listen to 'Mwimbieni Bwana'audio_icon_right



Artist: Sarah K
Song: Mwimbieni Bwana

Chorus
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Maana ametenda maajabu,
Maana ametenda maajabu, Yesu

Verse 1
Muimbieni bwana enyi dunia yote, himidini jina lake Yesu,
Astahili sifa na utukufu,
Maana ametenda maajabu,
Maana ametenda maajabu,

Chorus
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Maana ametenda maajabu,
Maana ametenda maajabu, Yesu

Verse 2
Ndege wa angani wa imba kwa furaha,
asubuhi na mapema jua lichomezapo, tena lituayo wanashangilia,
Hiyo ni ishara ya maajabu yake,
Hiyo ni ishara ya maajabu yake,

Chorus
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Maana ametenda maajabu,
Maana ametenda maajabu, Yesu

Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Maana ametenda maajabu,
Maana ametenda maajabu, Yesu

Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Mwimbieni bwana wimbo mpya,
Maana ametenda maajabu,
Maana ametenda maajabu, Yesu

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 198 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)