Artist: Sarah K
Song: Nasema Asante
Album: Milele Daima
Nasema asante kwa mungu wangu, nasema asante kwa wema wako,
Kwa maana fadhili zako za dumu, milele na milele amina,
Verse 1
Nitaimba sifa zako, mbele ya watu wote,

Chorus
Nasema asante kwa mungu wangu, nasema asante kwa wema wako,
Kwa maana fadhili zako za dumu, milele na milele amina,
Nasema asante kwa mungu wangu, nasema asante kwa wema wako,
Kwa maana fadhili zako za dumu, milele na milele amina,
(nasema asante baba, nasema asante kwa wema wako, nakushuru baba, nakushukuru wewe, umenitendea makuu baba, unastahili, wewe ni wa ajabu, umenilinda, nakushukuru baba)
Chorus
Nasema asante kwa mungu wangu, nasema asante kwa wema wako,
Kwa maana fadhili zako za dumu, milele na milele amina,
Nasema asante kwa mungu wangu, nasema asante kwa wema wako,
Kwa maana fadhili zako za dumu, milele na milele amina,
Nasema asante kwa mungu wangu, nasema asante kwa wema wako,
Kwa maana fadhili zako za dumu, milele na milele amina,
Nasema asante kwa mungu wangu, nasema asante kwa wema wako,
Kwa maana fadhili zako za dumu, milele na milele amina,
Tags:
| Next > |
|---|