Artist: Samtaar
Song: Cheer Up
Album: Cheer Up
Year: 2010
Producer: Ulopa
Record Label: Ulopa Ngoma
Language: Kiswahili, Sheng
Intro
Guy: Switie Mambo? Umekimya Sana Jo
Chic: Hey Hujapata Habari, Nimehuk Up Na Mr. Money Bugs
Guy: Ipo Siku Utanikumbuka
Chic: Aah Ishia
Chorus
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Ndani Ya Club
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Works
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Game
Mamanzi Wananicheer Up
Wananicheer Wananicheer Up
Verse 1
Kuwish 4 A Scene Away Ni Kama Kumtafuta Farasi Wa Green Penzi Langu La Kwanza Tulilopendandana Shamba Langu Bikira Kazi Kalifanyia, Kalima Kafyeka Kapanda Mimi Maji Kibao Tena Nikalichotea, Miche Yangu Maji Nikanyunyuzia Kakua Mti Tunda Ukanizalia, Lakini Ninasiki'ta Maskini Kwa Majonzi, Tunda Langu Tunda Sikutunda Tunda Langu Tunda Sikutunda.
Chorus
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Ndani Ya Club
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Works
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Game
Mamanzi Wananicheer Up
Wananicheer Wananicheer Up
Verse 2
Ulimwachilia Ewe Shamba Langu Ale Mpita Njia Tunda Langu Uwendelze Ukulima Wangu, Haidhuru Kupoteza Zangu Earrings Kwani Kasalia Matundu Masikioni Nilitafuta Nikasearch Nikapata Nikageet Mfano Katoka Seco Kaenda Campo, Sasa Lile Penzi Linayumba Ameulenga Farmer Ukulima, Samahani Tena Sina Space Niko Busy Na Wangu Demu
Chorus
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Ndani Ya Club
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Works
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Game
Mamanzi Wananicheer Up
Wananicheer Wananicheer Up
Verse 3
Guy: miss money bags
Chic: bado nakupenda
Guy: aah sina space sili sukuma wiki nashiba kuku
Gal Huamini Nakuita Wangu Former Kuishi Bila Moto Joto Yangu Tranformer Machizi Mtaani Si Wanakusema Si Penzi Uliasi Tusipatane Daima Waishi Ndani Ya Winter Na Mimi Summer Kurudiana Tena Siwezi Backsaumer Kwa Huyu Naridhika Mataa Sitoyazima Raha Anazijua Kwa Mapenzi Yu Mzima!!!
Chorus
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Ndani Ya Club
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Works
Mamanzi Wananicheer Up
Ni Mimi Tu Uliyenikataa,nikiingia Kwenye Game
Mamanzi Wananicheer Up
Wananicheer Wananicheer Up
| Next > |
|---|