| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Nyama Choma

" target="_blank">LISTEN TO 'NYAMA CHOMA'

Artist: Samba Mapangala
Song: Nyama Choma
Language: Kiswahili


Bwana Mapangala eh, utupatie nyama choma eeh
Bwana Mapangala eh, utupatie kachumbari
tupo njiani tunakuja yoyo
tupo njiani tunaimba
tunawaletea mchezo wetu mpya
tunawaletea nyimbo zetu mpya
nyimbo ni sabuni ya roho
yanapunguza mawazo, eeh

tupo njiani tunakuja yoyo
tupo njiani tunaimba
tunawaletea mchezo wetu mpya
tunawaletea nyimbo zetu mpya
nyimbo ni sabuni ya roho
yanapunguza mawazo, eeh

Nairobi, Mombasa
Kakamega, Kisumu
Kisii, Bungoma
Nakuru, Malindi
Kilifi, Meru
Namanga, Masaku

Dar es Salaam, eeh
Mwanza, Arusha
Musoma, Iringa
Mbeya, Dodoma
Moshi, Tanga
Tshinyanga Zanzibari

Nairobi, Mombasa
Kakamega, Kisumu
Kisii, Bungoma
Nakuru, Malindi
Kilifi, Meru
Namanga, Masaku

Dar es Salaam, eeh
Mwanza, Arusha
Musoma, Iringa
Mbeya, Dodoma
Moshi, Tanga
Tshinyanga Zanzibari

tupo njiani tunakuja yoyo
tupo njiani tunaimba
tunawaletea mchezo wetu mpya
tunawaletea nyimbo zetu mpya
nyimbo ni sabuni ya roho
yanapunguza mawazo, eeh

tupo njiani tunakuja yoyo
tupo njiani tunaimba
tunawaletea mchezo wetu mpya
tunawaletea nyimbo zetu mpya
nyimbo ni sabuni ya roho
yanapunguza mawazo, eeh


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 466 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)