| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Kaa Chonjo

Artist: Samba Mapangala
Song: Kaa Chonjo
Language: Kiswahili


siku simu liwayo ninayo yasema
nimekusikia mwenyewe ukimsimanga yule msichana

eti kwa nini amependa mtu kama Chidumule
kwanza fukara sina gari wala nyumba eeh
nitampa nini yeye huyo bibi jamani oh

siku simu liwayo ninayo yasema
nimekusikia mwenyewe ukimsimanga yule msichana

eti kwa nini amependa mtu kama mimi
kwanza fukara sina mbele wala nyuma eeh
nitampa nini yeye huyo bibi jamani oh

ameshasema hakutaki kaa chonjo
ameshasema hakutaki kaa chonjo

lazima katika mapenzi tamaa hakuna
na penzi ya pesa duniani halipo
kwani hata kobe ana mpenzi wake na kamwe hajui pesa
oh baba ninasema eeh

unamponda yule kijana ili bibi akuthamini wewe
ukimpenda msichana sema naye pole pole
kamwe hakuna haja ya kumkashifu kijana mwenzio baba

ameshasema hakutaki kaa chonjo
ameshasema hakutaki kaa chonjo

usitumie pesa
kama fimbo kaka
mambo ya pesa mpaka makubaliano
hapo ndipo pesa huwa na thamani eeh

usitumie pesa
kama fimbo kaka
mambo ya pesa mpaka makubaliano
hapo ndipo pesa huwa na thamani eeh

ikiwa mapenzi mpaka bibi akupende
ata kama kuni wa kuomba mpaka bibi akubali oh

usitumie pesa
kama fimbo kaka
mambo ya pesa mpaka makubaliano
hapo ndio pesa huwa na thamani eeh

ikiwa mapenzi mpaka bibi akupende
hata kama mzee kimwana lakini kwa mipoko

usitumie pesa
kama fimbo kaka
mambo ya pesa mpaka makubaliano
hapo ndipo pesa huwa na thamani eeh

usitumie pesa
kama fimbo kaka
mambo ya pesa mpaka makubaliano
hapo ndipo pesa huwa na thamani eeh

hata njiwa na mpenzi wake kwenye tundu eeh
ingawa njiwa hajui noti wala shilingi oh

usitumie pesa
kama fimbo kaka
mambo ya pesa mpaka makubaliano
hapo ndipo pesa huwa na thamani eeh


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 399 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)