Artist: Safari Sound Band
Song: Lala Salama
Language: Kiswahili
lala
lala salama
lala
lala salama
lala
lala salama
lala
lala salama
jua limekuchwa
usiku umeingia
njoo mpenzi wangu
tukalale salama
jua limekuchwa
usiku umeingia
njoo mpenzi wangu
tukalale salama
lala
lala salama
lala
lala salama
lala
lala salama
lala
lala salama
mpenzi zima taa
uje karibu yangu
saa zimefika
za kulala salama
mpenzi zima taa
uje karibu yangu
saa zimefika
za kulala salama
lala
lala salama
lala
lala salama
lala
lala salama
lala
lala salama
| < Prev |
|---|
