Artist:Ringtone
Song:Gospel inabamba
Year:2008
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Sasa gospel inabamba, watu wote waipenda
Sasa gospel imeshika, watu wote waicheza

VERSE 1 LYRICS:
Huku Nairobi, Kampala na Bongo
gospel inabamba si uongo
asaente sana maradio presenter
ma DJ wote nyinyi hutupenda
mumefanya mziki mbali kwenda
kila mahali sasa ngoma zinachezwa
kwa redio, kwa vilabu zinachezwa
kwa matatu nakwo pia zinachezwa
kila mahali Bwana Yesu Anatukuzwa
jina Lake nalo pia Latukuzwa
jina Lake nalo pia Latukuzwa
CHORUS LYRICS:
Sasa gospel inabamba, watu wote waipenda
Sasa gospel imeshika, watu wote waicheza
Sasa gospel inabamba, watu wote waipenda
Sasa gospel imeshika, watu wote waicheza
VERSE 2 LYRICS:
Inabamba inashika, watu wote sasa wanaokoka
Inabamba inashika, watu wote sasa wanakatika
Kampala yote inabamba, Nakuru pia imeshika
CHORUS LYRICS:
Sasa gospel inabamba, watu wote waipenda
Sasa gospel imeshika, watu wote waicheza
Sasa gospel inabamba, watu wote waipenda
Sasa gospel imeshika, watu wote waicheza
VERSE 3 LYRICS:
Hebu Mwamini Mungu sasa, Afurahie Yeye Ebeneza
Kenya yote twasikika, neno lake tukieneza
Watu wote wanaokoka, waliofungwa wanafunguka
Mwili na roho, nazo zakatika, neno Lake likisikika
magonjwa yote yanaponywa, viziwi wote wanasikia
Viwete nao wanatembea Bwana Yesu Akisifiwa