Artist:Rosy Ohon
Song:Watoto
Year:2008
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Watoto wachungeni wasiharibiwe
Watoto wachungeni wasiharibiwe
Maana hao ndio madakitari, ndio maprofesa
ndio viongozi wa kimataifa
VERSE 1 LYRICS:
Wewe mama unaishi maisha gani siku hizi
watoto wako waeka mwisho shughuli zako namba moja
We sio mama tena, dhamini yako imekufa
waleta mwanaume kwa nyumba, kumbe yeye ni mbwa wa mwitu

VERSE 2 LYRICS:
Nawe baba, vipi wewe? Mbona haueleweki?
Mke wako, mama watoto, umekwisha piga teke
Macho yako imefungwa, mbona watesa watoto?
Waleta mwanamke kwa nyumba kumbe yeye ni mbwa wa mwitu

ndio viongozi tena wa kimataifa
VERSE 3 LYRICS:
Wazazi wote na watu wote ni vyema kwamba tufahamu
eti watoto ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu
wakiwa hapa duniani, ni kazi yetu kuwapenda
tuwachunge, tuwatunze kutokana na mbwa wa mwitu
Watoto tuwachungeni wasiharibiwe