Artist:Rosy Ohon
Song:Badilisha
Year:2008
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Badilisha maisha yako
Badilisha maisha yako wewe ndugu yangu
Badilisha maisha yako wewe dada yangu
Badilisha maisha yako wewe ndugu yangu
VERSE 1 LYRICS:
Watu wakijivunia kuwacha madhambi zao
nami nitapoona inchi yako yote
Watu wakijivunia kuwacha madhambi yao
nami nitapoona inchi yako yote
CHORUS LYRICS:
Badilisha maisha yako
Badilisha maisha yako wewe mama yangu
Badilisha maisha yako wewe baba yangu
Badilisha maisha yako wewe ndugu yangu
VERSE 2 LYRICS:
Watu wakijivunia kuwacha madhambi zao
nami nitapoona inchi yako yote
Watu wakijivunia kuwacha madhambi yao
nami nitapoona inchi yako yote
CHORUS LYRICS:
Badilisha maisha yako
Badilisha maisha yako wewe ndugu yangu
Badilisha maisha yako wewe dada yangu
Badilisha maisha yako wewe ndugu yangu
VERSE 3 LYRICS:
Nyenyekea mbele zake Bwana
Nyenyekea mbele zake Bwana, umwone
Nyenyekea mbele zake Bwana
uone upendo wake, uone imani yake
uone baraka yake, uone uponyaji wake
Nyenyekea mbele zake Bwana
Nyenyekea mbele zake Bwana, umwone
Nyenyekea mbele zake Bwana, uone
Nyenyekea, Nyenyekea, Nyenyekea,