Artist : Rosemary Njage
Song: Mtukuze Bwana
Verse 1
Kama uko hai leo mtukuze bwana, mtukuze!
Kama uko hai leo mtukuze bwana, mtukuze!
Ni wengi walio lala hawakuamuka, amka!
Umempa nini baba ukawa hai,
Umempa nini baba ukawa hai,
Umempa nini baba ili uishi, uishi,
Umempa nini baba ili uishi, uishi,
Chorus
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Verse 2
Yesu akupenda sana, mama yangu,
Yesu akupenda sana, mama yangu,
Kaku umba ili wewe umuishie, muishie,
Kaku umba ili wewe umuishie,muishie,
Umempa nini baba ukawa hai,hai,
Umempa nini baba ukawa hai,hai,
Umempa nini baba ukawa na afya, afya
Umempa nini baba ukawa na afya, afya
Chorus
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Wakati umefika maombi sasa, ambapo bwana anatafuta wamuabudiye kwa roho na ukweli,
ndugu jiulize um moja wao?
ndugu jiulize um moja wao?
Chorus
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Nakuinua bwana wa mabwana,
Nakushujudu bwana wa mabwana,
Viumbe vyote vimuimbie bwana, vimwimbie!
Viumbe vyote vimuimbie bwana, vimwimbie!
Viumbe vyote vimsifu bwana, vimsifu!
Viumbe vyote vimsifu bwana, vimsifu!
Viumbe vyote vimtukuze bwana, vimtukuze!
Viumbe vyote vimchezee bwana, vimchezee!
Viumbe vyote vimchezee bwana, vimchezee!
Mfalme Daudi alicheza, akacheza, mpaka nguo zika anguka!
Tucheze, tucheze kwa bwana Yesu tucheze!
Tucheze na viuno, Kwa bwana Yesu tucheze!
Tucheze na mabega, kwa bwana Yesu tucheze!
Bwana asifiwe, Amen, Bwana asifiwe, Amen,
Milele na milele,
Shetani akipata, kanyaga, rusha inje!
Bwana asifiwe, Amen, Bwana asifiwe, Amen,
Milele na milele,
Shetani akipata, kanyaga, rusha inje!
Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35
Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
Mtukuze Bwana
Ghafla!Lyrics (Kenya)
