Artist:Rosemary Ngugi
Song:Wewe ni Mungu
Year:2008
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Wewe ni Mungu, Wewe ni Mungu
Wewe ni Muweza, Mwamba wa wokozi wangu
Wewe ni Mungu, Wewe ni Mungu
Wewe ni Muweza, Mwamba wa wokozi wangu
VERSE 1 LYRICS:
Jina lako lina nguvu, Jina lako lina ponya
Jina lako ni takatifu, Mwamba wa wokovu wangu

VERSE 2 LYRICS:
Unatulinda, Unatuhifadhi, mkono Wako watushikilia
Macho Yako yanatutazama kwa upendo na fadhili
Unatulinda, Unatuhifadhi, mkono Wako watushikilia
Macho Yako yanatutazama kwa upendo na fadhili
CHORUS LYRICS:
Wewe ni Mungu, Wewe ni Mungu
Wewe ni Muweza, Mwamba wa wokovu wangu
Wewe ni Mungu, Wewe ni Mungu
Wewe ni Muweza, Mwamba wa wokovu wangu
VERSE 3 LYRICS:
Tunaungana na wazee wale ishirini na wanne
tukikuabudu usiku na mchana, Unastahili, Unastahili Bwana.