Artist:Rosemary Ngugi
Song:Uinuliwe
Year:2008
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Mungu wa upendo uinuliwe
Mungu wa rehema utukuzwe
Mweza yote, Usujudiwe
Ewe Mungu wa upendo upewe sifa
Mungu wa upendo uinuliwe
Mungu wa rehema utukuzwe
Mweza yot, Usujudiwe
Ewe Mungu wa upendo upewe sifa
CHORUS LYRICS:
Uinuliwe, Uimbiwe, Uheshimiwe, Uabudiwe, Ushukuriwe, Uimbiwe
Ee Mungu wa upendo upewe sifa

VERSE 2 LYRICS:
Mungu ungali pamoja nasi, Unatuongoza Unatulinda
Pokea sifa Mungu wa majeshi, nawe Mungu wa upendo upewe sifa

VERSE 3 LYRICS:
Tegemeo letu wakati wote, kimbilio letu sisi sote
Twakuheshimu, tutakuishia, nawe Mungu wa upendo upewe sifa

VERSE 4 LYRICS: