Song: Biashara
Year: 2010
Producer: Evano
Record Label: New Dream Records
Intro
Unaskia hii story ya hustle
Biashara lazima kusupplement mshahara
Hasara ina madhara
Evano on the tracks
He’s doing the works
Riqo bringing the sparks
Yeah aaha, yeah aaha, yeah yeah aaha
Chorus
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Verse 1
Nina akala - na shati moja ishaanza kuchange color
Kila customer akipita nina holla - ananipa mkwanja
Namwangushia ganja - huku inje inabidi ujanja
Makarao ni mastress - hustle zetu wanamess
Kila time nikijibless - wanaharibia my highness
Wanadai possession - mi ndo distribution
Wanasahau hiyo corruption ndio the main contribution
Sisi kuokota madimanga tunajipanga tusilale njaa/
ju ni balaa/ karibu nikunywe changaa/ na niishie kuwa mangaa/
so I hustle the money/ with all my muscle honey
so I hustle the money/ with all my muscle honey
Chorus
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Verse 2
kuhustle tao-ili niwezre kushika soh si thao-angalau
economy imeenda down-bei ya bidhaa maidhaa-
haikomi kwenda juu-ndoto zangu za maisha ya usonko ziko through
me na my crew-msoto baridi hakuna joto-kusaka hela ndio motto
unemployment na self employment siku hizi ni torment-
mi ni pro niwache ni comment-kila wikendi kunywa vitu zimeferment
kulewa na kusaka madent-kunywa cham-ju maisha haina hamu
mtu ameisha ju ganji haikamu-chakula si tamu-natulia nashika kalamu-
hiphop hii inashika kama gamu-poverty inanifanya nijamu-sana mpaka mgongo
imekuwa ngumu-kazi yoyote napata ni kibarua haidumu
imekuwa ngumu-kazi yoyote napata ni kibarua haidumu
Chorus
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ni Biashara kila mara kuhepa hasara
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Ili nipate rent lazima nitafute centi
Verse 3
kwa street/ kukanyaga shit/ chini ya heat/ ya solar, kusaka dollar/
bila tai kwa collar/ hujasoma elimu yako ilikoma/ kusaka masomo ni noma/
kutunga mangoma/ ili upate mabao angalau nduku utachoma/ ngwai lazima tutawai/
na unaweza nijoin kama unadai/ Babylon haifai/ mi naipenda naikunywa mpaka kwa chai
kukuza ni muhimu ukivuta haikufanyi wazimu lakini ukiuliza utajipata mbele ya hakimu system ya serikali ni kali kama ndimu polisi na sisi na adui pesa zetu wanakamua kwa lazima tumeamua mayouth tumejichanua ka unanifeel we mikono inua na mdomo fungua uimbe.
| Next > |
|---|
