Artist: Ringtone
Song: Twende Kanisani
Year: 2010
Record Label: Ogopa DJs
Language: Kiswahili, English
Chorus
twende wote kanisani tukaombe
twende wote kanisani tukaimbe
twende wote kanisani tukacheze
tumwimbie, Mungu Baba
twende wote kanisani tukaombe
twende wote kanisani tukaimbe
twende wote kanisani tukacheze
tumwimbie, Mungu Baba
Verse 1
wiki zima sasa imeisha
kwenda hepi mnajitayarisha
masisi wote na ma-brother
najua wiki ilikuwa noma
wengine wenyu mlikuwa mnasoma
wengine mlikuwa kazini
mkiwaza wiki itaisha lini
Yesu naye ametupa ushindi
mi na wewe tunayo sababu
ya kushukuru huyu bwana Yesu
maisha bure yeye ametupa
afya bure na lisha ya bure
kuja basi wewe twende zetu
kanisani tushukuru Yesu
juu ni yeye anayestahili
amekupa nguvu kustahimili
amekupa nguvu kustahimili
amekupa nguvu kustahimili
Chorus
twende wote kanisani tukaombe
twende wote kanisani tukaimbe
twende wote kanisani tukacheze
tumwimbie, Mungu Baba
twende wote kanisani tukaombe
twende wote kanisani tukaimbe
twende wote kanisani tukacheze
tumwimbie, Mungu Baba
Verse 2
nikikaa mimi najiuliza
wangapiwe majamani waliaga
wengine walipatwa na ajali
wengine walikosa lishe
wanafunzi walifukuzwa shule
family nyingi zilivunjika
watoto walipoteza wazazi
wengine nao walifutwa kazi
wengine walinyang'anywa wachumba
wako yuko hata hukumchunga
wengine jamani wanalia
landlord alifunga nyumba
wengine waliibiwa
walidanganywa wakapigwa nganya
lakini wee umemaliza wiki
Yesu naye amekupa ushindi
Yesu naye amekupa ushindi
Yesu naye amekupa ushindi
Chorus
twende wote kanisani tukaombe
twende wote kanisani tukaimbe
twende wote kanisani tukacheze
tumwimbie, Mungu Baba
twende wote kanisani tukaombe
twende wote kanisani tukaimbe
twende wote kanisani tukacheze
tumwimbie, Mungu Baba
Verse 3
utapaa usi-delay
tutapaa na Ogopa DJs
tumefika bila ku-delay
kuinua bwana Yesu juu
kuja hapa usi-delay
ma-brother ma masiste
mi na wewe tunaye sababu
ya kuinua bwana Yesu juu
ya kuinua bwana Yesu juu
| < Prev | Next > |
|---|
