Artist: Ringtone & MajiMaji
Song: Talanta
Year: 2010
Producer: MajiMaji
Record Label: 4play Records
Language: Kiswahili
Chorus
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
Verse 1 (Ringtone)
nilikuwa ninaketi
night and day nikingoja
mtu anisaidie
beshte anipeleke mbele
I was a dreamer niki-dream big
niki-wonder nini nita-do
nili-pray every night and day
nika-cry every night and day
nili-pray Mungu in every way
nili-pray Mungu in every way
kulia kote ilikuwa bure
asante Mungu kwa talanta
Chorus
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
Verse 2 (MajiMaji)
I pray everyday
kwa magoti kila siku mi nasali daily
I pray everyday
kila kitu mi nafanya namweka mbele
ndio maana mi nasonga mbele
kipawa amenipa mi nasonga mbele
baraka zake Mungu kwangu tele
ndio maana Mr. Maji mi namsifu yeye
nikiwa na huzuni
ananijaza na furaha
nikianguka
kila mara ananiinua
ndio maana namsifu yeye
Chorus
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
Verse 3 (Ringtone)
na ningekuwa ninaomba
lakini mimi ninaimba
na ningekuwa ninaiba
lakini mimi ninaimba
nilitumia talanta
ambayo Mungu alinipa
nilitumia talanta
ndio maana mimi niko hapa
(MajiMaji)
ukiwa ofisini unachapa kazi
ukiwa jua cali unatafuta kazi wee
peperuka peruka juu kama ndege
ukiwa kwa matatu unachapa kazi
ama mashambani unalima shamba
peperuka peruka juu kama ndege
Chorus
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
natumia talanta yangu
ambayo Mungu alinipa
natumia talanta yangu
ili niweze kuenda mbali
nipe mabawa
asante Mungu kwa kipawa
nipe mabawa
nipeperuke juu kama ndege
| < Prev | Next > |
|---|
